Mwachieni Nchimbi mambo ya kuwekana vizuizini ni mambo ya kishamba

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
 
ok.🐒
 
Kwa kweli CCM ni chama shetani kabisa!

Nchimbi amekuwa kiongozi wa CCM kwa nafasi mbalimbali, amekuwa kiongozi katika serikali ya CCM katika nafasi mbalimbali, leo bila hatia, anafanyiwa ushenzi wa ajabu, maCCM yote yamekaa kimya! Hii ina maana CCM siyo chama cha wanaoitwa wanachama bali inamilikiwa na kikundi cha wahuni wachache, na wengine wote ni mateka waliofanywa watumwa ambao wamiliki wakiamua wanaweza kuwafanyia chochote, kuwateka na hata kuwaua.
CCM ni shetani mbaya ambaye hajawahi kupatikana katika Ulimwengu huu.
 
Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
Mimi nimeelezwa na ile sauti kuwa hajazuiliwa wala kushikiliwa na yeyote,bali ni yeye mwenyewe ndie kaamua kutulia kimya!https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/

Ila hili la Watanzania,kutoulizia kosa lake,na media kukaa kimya kutofuatilia chochote,hii maana yake sisi Watanzania ni mazuzu,na media ya Tanzania ni media zuzu!https://www.jamiiforums.com/threads...ehewe-kuandika-ukweli-au-ni-zuzu-tuu.2470629/

P
 
Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
Labda ni kwamaslahi ya "

Ngoja tuone panapo vuja.....labda ni kwa maslahi ya "chama" au maslahi ya "Taifa". Wanaosema yupo kwake sikubaliani nao kwani alikuwa anaishi Dunia ya kipekee? Hakuna watu.
 
Ila hili la Nchimbi, linashangaza kiukweli..kama mmeshamfuta uVP na uanachama kwanini afichwe?,..Wanasiasa, wanaharakati na wapendahaki wote hebu ongezeni SAUTI
Waongeze sauti au waongeze ukimya.

Sheria zetu zinamruhusu Rais kuamuru lolote,, kwa yeyote wakati wowote.
 
Back
Top Bottom