Mwachieni Nchimbi mambo ya kuwekana vizuizini ni mambo ya kishamba

Kwa kweli CCM ni chama shetani kabisa!

Nchimbi amekuwa kiongozi wa CCM kwa nafasi mbalimbali, amekuwa kiongozi katika serikali ya CCM katika nafasi mbalimbali, leo bila hatia, anafanyiwa ushenzi wa ajabu, maCCM yote yamekaa kimya! Hii ina maana CCM siyo chama cha wanaoitwa wanachama bali inamilikiwa na kikundi cha wahuni wachache, na wengine wote ni mateka waliofanywa watumwa ambao wamiliki wakiamua wanaweza kuwafanyia chochote, kuwateka na hata kuwaua.
CCM ni shetani mbaya ambaye hajawahi kupatikana katika Ulimwengu huu.
Ni vyema wakakaa kwa kutulia !
Nguvu ya Mamba kumayi !
Wanalijua vizuri sana hilo na walikuwa wakilisimamia hilo !
Sasa kwanini washangae ? ! ? !
 
Kwa kweli CCM ni chama shetani kabisa!

Nchimbi amekuwa kiongozi wa CCM kwa nafasi mbalimbali, amekuwa kiongozi katika serikali ya CCM katika nafasi mbalimbali, leo bila hatia, anafanyiwa ushenzi wa ajabu, maCCM yote yamekaa kimya! Hii ina maana CCM siyo chama cha wanaoitwa wanachama bali inamilikiwa na kikundi cha wahuni wachache, na wengine wote ni mateka waliofanywa watumwa ambao wamiliki wakiamua wanaweza kuwafanyia chochote, kuwateka na hata kuwaua.
CCM ni shetani mbaya ambaye hajawahi kupatikana katika Ulimwengu huu.

Hicho chama ni pindua pindua, hakina Democrasia kabisaa.
 
Unatia huruma siku hizi wee chawaa, CCM imejua kukuvua nguo wallah.
😂😂😂😂
Ndugu mdau,
nakushauri tu,
usinionee huruma kabisa mimi, hasa katika masuala ya kisiasa ambayo mimi ni miongoni mwa wabobevu waandamizi.

hata hivyo,
nakuhisi, kujionea huruma wewe mwenyewe kwanza kabla ya kuhurumia wengine katika siasa na kwakweli itapendeza zaidi 🐒
 
Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
Kwani familia yake inasemaje?
 
Nilimsikia Bashungwa siku ile naongea, very stupidy, kama kale kagasho ka UVCC, VERY STUPIDY.
Chama kimetekwa na wahuni, wameteka jeshi,chama, Polisi na TISS.
 
Ndugu mdau,
nakushauri tu,
usinionee huruma kabisa mimi, hasa katika masuala ya kisiasa ambayo mimi ni miongoni mwa wabobevu waandamizi.

hata hivyo,
nakuhisi, kujionea huruma wewe mwenyewe kwanza kabla ya kuhurumia wengine katika siasa na kwakweli itapendeza zaidi 🐒

😂😂😂 kwishaa wewee, kwishaaaa kabisaaa. Uwiiiih
 
Tangu kile kipindi cha pili cha utawala wa Mzee wa Msoga ilianza kuonekana kwamba kila anayekosoa kosoa huyo anakuwa sio mwenzetu na kwamba anatakiwa adhibitiwe kwa jinsi itakavyo wezekana ili afunge domo lake ! 😳

Sasa tatizo liko wapi ndugu zanguniii ?lawama za nini ?
Ndugu lawama acheni lawama 🙄😳 !
😁😁 !
Mkae kwa kutulia Bandugu 👍🙌
 
Mimi nimeelezwa na ile sauti kuwa hajazuiliwa wala kushikiliwa na yeyote,bali ni yeye mwenyewe ndie kaamua kutulia kimya!https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/

Ila hili la Watanzania,kutoulizia kosa lake,na media kukaa kimya kutofuatilia chochote,hii maana yake sisi Watanzania ni mazuzu,na media ya Tanzania ni media zuzu!https://www.jamiiforums.com/threads...ehewe-kuandika-ukweli-au-ni-zuzu-tuu.2470629/

P

We mzee unatumika na unazeeka vibaya sana
 
Back
Top Bottom