Mwachieni Nchimbi mambo ya kuwekana vizuizini ni mambo ya kishamba

Ila hili la Watanzania,kutoulizia kosa lake,na media kukaa kimya kutofuatilia chochote,hii maana yake sisi Watanzania ni mazuzu,na media ya Tanzania ni media zuzu!https://www.jamiiforums.com/threads...ehewe-kuandika-ukweli-au-ni-zuzu-tuu.2470629/

P
Hii kama C&P?!
P
 
Pamoja kupata msiba mzito ndani ya familia, bado tuna nguvu ya kuweka visasi na vinyongo kwa watu wenye mawazo tofauti na sisi, hakuna funzo kabisa hadi tufe wenyewe?
 
Kwahiyo utaratibu wa CCM ukijiuzuru unawekwa kizuizini? Ko na Pole pole yuko kizuizini?
Soma vizuri dadangu. Nimesema ni utaratibu wa Serikali. Na hapa niongeze: Ni kwa maslahi ya kiusalama ya nchi na mhusika mwenyewe. Siku nyingine tulia usome vizuri.
 
Mkuu, huu ni utaratibu wa Serikali. Hata CHADEMA siku wakiingia ikulu ikatokea kama hivi watafanya hivihivi.
Utaratibu wa serikali kwa sheria ipi!? Hakuna kitu kinaitwa utaratibu bali kuna kitu kinaitwa Sheria. Sheria chini ya Katiba ndio inatoa maelekezo yote ya nini kinatakiwa kufanyika na si kinyume chake.
 
Kwamba kila serekali ya chama chochote lazima iige huo upuuzi unaofanywa na ccm sasa?
Si swala la kuiga bali ni swala la kiusalama kwa serikali na mhusika. Wewe unaonaje?
 
Utaratibu wa serikali kwa sheria ipi!? Hakuna kitu kinaitwa utaratibu bali kuna kitu kinaitwa Sheria. Sheria chini ya Katiba ndio inatoa maelekezo yote ya nini kinatakiwa kufanyika na si kinyume chake.
Sheria ya TISS
 
Kwa kweli CCM ni chama shetani kabisa!

Nchimbi amekuwa kiongozi wa CCM kwa nafasi mbalimbali, amekuwa kiongozi katika serikali ya CCM katika nafasi mbalimbali, leo bila hatia, anafanyiwa ushenzi wa ajabu, maCCM yote yamekaa kimya! Hii ina maana CCM siyo chama cha wanaoitwa wanachama bali inamilikiwa na kikundi cha wahuni wachache, na wengine wote ni mateka waliofanywa watumwa ambao wamiliki wakiamua wanaweza kuwafanyia chochote, kuwateka na hata kuwaua.
CCM ni shetani mbaya ambaye hajawahi kupatikana katika Ulimwengu huu.
CCM ni suala la muda na itafutika na kubaki historia. Hii stage waliofika hawawezi kufanya tena marekebisho yoyote. Na mbaya zaidi wameshaonja damu.... hakuna kurudi nyuma.
 
CCM hamna chama pale, kiliishavamiwa na walanguzi kitambo sana.Chama gani wanachama wao wanakiogopa, yaani wanatekwa wanazuiliwa wanachama wao, huwezi kuskia hata mmoja akikohoa, hiyo ni dalili ya woga na hofu kuu..
 
Kwa kweli CCM ni chama shetani kabisa!

Nchimbi amekuwa kiongozi wa CCM kwa nafasi mbalimbali, amekuwa kiongozi katika serikali ya CCM katika nafasi mbalimbali, leo bila hatia, anafanyiwa ushenzi wa ajabu, maCCM yote yamekaa kimya! Hii ina maana CCM siyo chama cha wanaoitwa wanachama bali inamilikiwa na kikundi cha wahuni wachache, na wengine wote ni mateka waliofanywa watumwa ambao wamiliki wakiamua wanaweza kuwafanyia chochote, kuwateka na hata kuwaua.
CCM ni shetani mbaya ambaye hajawahi kupatikana katika Ulimwengu huu.
ccm ni genge la majambazi... Kila mmoja anamlia timing mwenzake!
 
Back
Top Bottom