ok.πWatu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
uoga wako ndio umaskini wako gentleman πSasa hivi watu waoga sana. Bora Lissu alivyowaita akina IGP na CDF mahakamani.
Alipojiuzulu Aboud Jumbe mwaka 1984 akawekwa kizuizini mbona hamkusema? Au kwasababu ni Nchimbi? Taratibu ni zilezile hazijabadilika.kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya
Mkuu, huu ni utaratibu wa Serikali. Hata CHADEMA siku wakiingia ikulu ikatokea kama hivi watafanya hivihivi.CCM ni shetani mbaya ambaye hajawahi kupatikana katika Ulimwengu huu.
Mimi nimeelezwa na ile sauti kuwa hajazuiliwa wala kushikiliwa na yeyoteοΌbali ni yeye mwenyewe ndie kaamua kutulia kimyaοΌhttps://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
Upuuzi wenu ccm mnaamini kila mtu atauiga?Mkuu, huu ni utaratibu wa Serikali. Hata CHADEMA siku wakiingia ikulu ikatokea kama hivi watafanya hivihivi.
Labda ni kwamaslahi ya "Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
Ngoja tuone panapo vuja.....labda ni kwa maslahi ya "chama" au maslahi ya "Taifa". Wanaosema yupo kwake sikubaliani nao kwani alikuwa anaishi Dunia ya kipekee? Hakuna watu.Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
ππ !ok.π
ππ !
Waongeze sauti au waongeze ukimya.Ila hili la Nchimbi, linashangaza kiukweli..kama mmeshamfuta uVP na uanachama kwanini afichwe?,..Wanasiasa, wanaharakati na wapendahaki wote hebu ongezeni SAUTI
ok.π
uoga wako ndio umaskini wako gentleman π