Ila hili la Nchimbi, linashangaza kiukweli..kama mmeshamfuta uVP na uanachama kwanini afichwe?,..Wanasiasa, wanaharakati na wapendahaki wote hebu ongezeni SAUTI
Ni vyema wakakaa kwa kutulia !Kwa kweli CCM ni chama shetani kabisa!
Nchimbi amekuwa kiongozi wa CCM kwa nafasi mbalimbali, amekuwa kiongozi katika serikali ya CCM katika nafasi mbalimbali, leo bila hatia, anafanyiwa ushenzi wa ajabu, maCCM yote yamekaa kimya! Hii ina maana CCM siyo chama cha wanaoitwa wanachama bali inamilikiwa na kikundi cha wahuni wachache, na wengine wote ni mateka waliofanywa watumwa ambao wamiliki wakiamua wanaweza kuwafanyia chochote, kuwateka na hata kuwaua.
CCM ni shetani mbaya ambaye hajawahi kupatikana katika Ulimwengu huu.
Kwa kweli CCM ni chama shetani kabisa!

Watakuwa wanaogopa asije akaanza kujirekodi kama slowslowIla hili la Nchimbi, linashangaza kiukweli..kama mmeshamfuta uVP na uanachama kwanini afichwe?,..Wanasiasa, wanaharakati na wapendahaki wote hebu ongezeni SAUTI
Alipojiuzulu Aboud Jumbe mwaka 1984 akawekwa kizuizini mbona hamkusema? Au kwasababu ni Nchimbi? Taratibu ni zilezile hazijabadilika.
Ndugu mdau,Unatia huruma siku hizi wee chawaa, CCM imejua kukuvua nguo wallah.
😂😂😂😂
Kwani familia yake inasemaje?Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
Nilimsikia Bashungwa siku ile naongea, very stupidy, kama kale kagasho ka UVCC, VERY STUPIDY.Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa la Nchimbi ni lipi kusema tudai katiba mpya? Wana CCM mmekua kama mazuzu kweli kwamba Nchimbi anawekwa kizuizini kwa ajili maslahi ya wahuni mko kimya stupid.
Ndugu mdau,
nakushauri tu,
usinionee huruma kabisa mimi, hasa katika masuala ya kisiasa ambayo mimi ni miongoni mwa wabobevu waandamizi.
hata hivyo,
nakuhisi, kujionea huruma wewe mwenyewe kwanza kabla ya kuhurumia wengine katika siasa na kwakweli itapendeza zaidi 🐒
hakikaIla hili la Nchimbi, linashangaza kiukweli..kama mmeshamfuta uVP na uanachama kwanini afichwe?,..Wanasiasa, wanaharakati na wapendahaki wote hebu ongezeni SAUTI
hiyo sasa labda uwafafanulie wadau wa Jf kwa kina kirefu kidogo,😂😂😂 kwishaa wewee, kwishaaaa kabisaaa. Uwiiiih
Duh 🙄 !Wewe ndio inatakiwa uanzishe hii harakati maana nchimbi alikua ndio mtu wako wa muhimu, nashangaa unalia lia kmya kimya, dai CCM wakurudishie mtu wako.
😂😂😂 Chawaa chawaa.
Chawa,ok.🐒
Hakuna shujaa aliye hai mkuu..Sasa hivi watu waoga sana. Bora Lissu alivyowaita akina IGP na CDF mahakamani.
Ila hili la Watanzania,kutoulizia kosa lake,na media kukaa kimya kutofuatilia chochote,hii maana yake sisi Watanzania ni mazuzu,na media ya Tanzania ni media zuzu!https://www.jamiiforums.com/threads...ehewe-kuandika-ukweli-au-ni-zuzu-tuu.2470629/Mimi nimeelezwa na ile sauti kuwa hajazuiliwa wala kushikiliwa na yeyote,bali ni yeye mwenyewe ndie kaamua kutulia kimya!https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/
Ila hili la Watanzania,kutoulizia kosa lake,na media kukaa kimya kutofuatilia chochote,hii maana yake sisi Watanzania ni mazuzu,na media ya Tanzania ni media zuzu!https://www.jamiiforums.com/threads...ehewe-kuandika-ukweli-au-ni-zuzu-tuu.2470629/
P
We mzee unatumika na unazeeka vibaya sanaMimi nimeelezwa na ile sauti kuwa hajazuiliwa wala kushikiliwa na yeyote,bali ni yeye mwenyewe ndie kaamua kutulia kimya!https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/