Chama kipi kinademokrasia nchi hii?Hicho chama ni pindua pindua, hakina Democrasia kabisaa.
Ila hili la Watanzania,kutoulizia kosa lake,na media kukaa kimya kutofuatilia chochote,hii maana yake sisi Watanzania ni mazuzu,na media ya Tanzania ni media zuzu!https://www.jamiiforums.com/threads...ehewe-kuandika-ukweli-au-ni-zuzu-tuu.2470629/
Hii kama C&P?!Ila hili la Watanzania,kutoulizia kosa lake,na media kukaa kimya kutofuatilia chochote,hii maana yake sisi Watanzania ni mazuzu,na media ya Tanzania ni media zuzu!https://www.jamiiforums.com/threads...ehewe-kuandika-ukweli-au-ni-zuzu-tuu.2470629/
P
Nimezungumzia serikali ambayo hata CHADEMA wanaweza, siku moja, wakawa ndio wanaoiendesha.Upuuzi wenu ccm mnaamini kila mtu atauiga?
Soma vizuri dadangu. Nimesema ni utaratibu wa Serikali. Na hapa niongeze: Ni kwa maslahi ya kiusalama ya nchi na mhusika mwenyewe. Siku nyingine tulia usome vizuri.Kwahiyo utaratibu wa CCM ukijiuzuru unawekwa kizuizini? Ko na Pole pole yuko kizuizini?
Gentleman Acha Hizook.🐒
Kwamba kila serekali ya chama chochote lazima iige huo upuuzi unaofanywa na ccm sasa?Nimezungumzia serikali ambayo hata CHADEMA wanaweza, siku moja, wakawa ndio wanaoiendesha.
zipi gentlemanGentleman Acha Hizo
Utaratibu wa serikali kwa sheria ipi!? Hakuna kitu kinaitwa utaratibu bali kuna kitu kinaitwa Sheria. Sheria chini ya Katiba ndio inatoa maelekezo yote ya nini kinatakiwa kufanyika na si kinyume chake.Mkuu, huu ni utaratibu wa Serikali. Hata CHADEMA siku wakiingia ikulu ikatokea kama hivi watafanya hivihivi.
Si swala la kuiga bali ni swala la kiusalama kwa serikali na mhusika. Wewe unaonaje?Kwamba kila serekali ya chama chochote lazima iige huo upuuzi unaofanywa na ccm sasa?
Sheria ya TISSUtaratibu wa serikali kwa sheria ipi!? Hakuna kitu kinaitwa utaratibu bali kuna kitu kinaitwa Sheria. Sheria chini ya Katiba ndio inatoa maelekezo yote ya nini kinatakiwa kufanyika na si kinyume chake.
CCM ni suala la muda na itafutika na kubaki historia. Hii stage waliofika hawawezi kufanya tena marekebisho yoyote. Na mbaya zaidi wameshaonja damu.... hakuna kurudi nyuma.Kwa kweli CCM ni chama shetani kabisa!
Nchimbi amekuwa kiongozi wa CCM kwa nafasi mbalimbali, amekuwa kiongozi katika serikali ya CCM katika nafasi mbalimbali, leo bila hatia, anafanyiwa ushenzi wa ajabu, maCCM yote yamekaa kimya! Hii ina maana CCM siyo chama cha wanaoitwa wanachama bali inamilikiwa na kikundi cha wahuni wachache, na wengine wote ni mateka waliofanywa watumwa ambao wamiliki wakiamua wanaweza kuwafanyia chochote, kuwateka na hata kuwaua.
CCM ni shetani mbaya ambaye hajawahi kupatikana katika Ulimwengu huu.
Kama haukubaliani nao, nenda kamtoe huko kizuizini!Upuuzi wenu ccm mnaamini kila mtu atauiga?
ccm ni genge la majambazi... Kila mmoja anamlia timing mwenzake!Kwa kweli CCM ni chama shetani kabisa!
Nchimbi amekuwa kiongozi wa CCM kwa nafasi mbalimbali, amekuwa kiongozi katika serikali ya CCM katika nafasi mbalimbali, leo bila hatia, anafanyiwa ushenzi wa ajabu, maCCM yote yamekaa kimya! Hii ina maana CCM siyo chama cha wanaoitwa wanachama bali inamilikiwa na kikundi cha wahuni wachache, na wengine wote ni mateka waliofanywa watumwa ambao wamiliki wakiamua wanaweza kuwafanyia chochote, kuwateka na hata kuwaua.
CCM ni shetani mbaya ambaye hajawahi kupatikana katika Ulimwengu huu.
Hila si usalama boss.Si swala la kuiga bali ni swala la kiusalama kwa serikali na mhusika. Wewe unaonaje?