Mwadui FC chezeni kama mlivyocheza na Simba SC jana pia mkicheza na Yanga SC ili mbebe Kombe la VPL kabisa

Mwadui FC chezeni kama mlivyocheza na Simba SC jana pia mkicheza na Yanga SC ili mbebe Kombe la VPL kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kumbe Mpira huwa mnaujua sasa kwanini kila Msimu wa Ligi huwa mnapumulia tu Mashine huku mkiwa hatarini Kushuka daraja na badala yake mnabaki tu Kusumbua Waamuzi kwa ‘ Kuwahonga ‘ Pesa zenu kidogo za hapa Mgodini ili mbakie Ligi Kuu?

Ombi Kuu kwenu ni kwamba nawaombeni nyie Mwadui FC kuwa hata mkicheza na Yanga SC ( ambao Jumapili ya tarehe 3 wanaenda Kulitia Aibu ya Mwaka Taifa huko Misri ambako wanaenda Kufungwa Goli 10 au 15 ) basi muwe ‘ mnakaza ‘ kama jinsi mlivyoikazia Simba SC jana.

Halafu Mwadui FC mna ‘ Waganga / Wachawi ‘ wazuri sasa mlikuwa wapi kuwasaidia Ndugu zenu Yanga SC walipokuwa huko Kwenu Kanda ya Ziwa ili ‘ wasibikiriwe ‘ na ‘ Mwarabu ‘ Pyramids FC? Wanafiki wakubwa nyie na mnachokijua ni Kucheza kwa Mahaba kwakuwa 85% ya Wachezaji wenu ni Yanga SC.

Sasa mtatukoma Simba SC na tutafanya ‘ Fitna ‘ hadi mnashuka Daraja Msimu huu. Na muwaambie mapema hao Wachezaji wenu Watatu huyo Kipa wenu, mfungaji wenu wa Goli na Yule Fowadi wenu ambaye jana alikuwa ‘ akihaha ‘ Uwanja mzima kwamba wasidhani ‘ Kujitutumua ‘ Kwao vile basi hizo Pesa walizopewa jana Usiku na Watu wa Yanga SC zitawasaidia kwa chochote au watasajiliwa na Yanga SC bali wataendelea zao ‘ Kutaabika ‘ huko huko Kijijini Shinyanga. Na kuna Mmoja namfahamu ‘ Kindakindaki ‘ labda asije ‘ Kitaani ‘ Kwangu kwani nitamalizana nae kwa ‘ Style ‘ ya Kipekee kabisa.
 
Simba wanashinda mechi kwa kuhonga marefa na wachezaji wa timu pinzani, jana Mwadui wamegoma kuhongwa ndio maana simba kafungwa. wakulaumiwa ni MO kwa kushindwa kupitisha hongo kwa Mwadui
mbona husemi yanga tuliwahonga shilingi ngapi hadi tukawatia kimoja na mimba juu
 
Hivi wewe mtoa mada ambaye ni mikia fc uliwaza kwa akili yako kweli ? Hii ni akili ya kuazima kudhani kuwa ungemaliza ligi bila kupoteza mechi au Kudroo.
 
Na bado vichapo vingine vinakuja mpaka mtie adabu sh.e.n.z type.
 
Mtasubiri sana ....pambaneni mtoke humo shimoni
Ni suala LA Muda tu we utakuwa chini yetu. We subiri wakutoboe na kukuchania M.a.ir.I.NDA.h yako ndiyo akili itakukaa sawa.
 
Naona ni maumivu tu Haya ya kuzidi kutanuliwa tundu...
Kikojo kimoja tyu walalamika namna hii..
 
Back
Top Bottom