Mwadui FC yamumunywa na Simba SC Kambarage, Mwadui 0-3 Simba

Kuna wakati huwa nakuwa na mashaka na watu kama hao nao ni GT? Na ilikuwaje yupo hai hadi leo maana naona akili aliyo nayo haimuwezeshi hata kuvuka barabara... Labda huwa anavushwa cha msingi usibishane nae ndg..
sembo hawa wazee wenu wa busara wanaharibu ladha ya jukwaa. Wanataka tuchangie kama tupo kanisani au msikitini. Ngoja nisepe wasijenitafutia ban bure.
 
Simba Punguzeni Jazba. Ndo nini hivyo?kuna haja gani ya kumfunga mtu bao 3? Acheni jazba bwana. Bao moja tu linatosha.
Halafu inashauriwa bao moja kwa afya....Simba waache sifa na jazba zisizo na msingi...
 
Bahati Mbaya Leo nipo ndani ya gari
Naangalia kupitia Cm
Nimeshindwa kuendesha aisee
Simba hii!!!!!
 
Ni kweli. Na pia tuliwashaur simba wasicheze kwa nguvu. Wacheze taratib na bao moja tu la mkwezi. Sisi hatununui mech, hatufanyi uhuni huo. Na ndo maana husikii malalamiko kwa team tunazozifunga. Si kama team nyingine zinavyopigiww kelele


Halafu inashauriwa bao moja kwa afya....Simba waache sifa na jazba zisizo na msingi...
 
Asante ndugu yangu. Nmesha mforwardia mama yangu hiyo msg nmemwambia imetoka kwako. Ameshukuru na kumkemea shetani anayefanya watoto wa siku hizi wawe wamepagawa. Asante ndugu danny greeny. Maana wewe ni ndugu yangu tu. Huwez kuchagua ndugu. Haya tuendelee kuangalia mpira.


Nadhani Mama yako Mzazi ndio mwenye akili tuu za Kumsaidia asitembee uchi na si mimi
 
sembo hawa wazee wenu wa busara wanaharibu ladha ya jukwaa. Wanataka tuchangie kama tupo kanisani au msikitini. Ngoja nisepe wasijenitafutia ban bure.
Mkuu mie maneno ya kimchezo nayajua sana ila si vizuri kukazia maelezo yako na kuyatetea kama ulichofanya ni sawa.. Kumbuka kwenye majukwaa kama haya unakutana na watu wa aina tofauti japo sikulaumu kwa hilo
 
Simba wanachoniudhi ni kufunga goli chache,kibonde kama huyu ni kipiga goli 10
 
Mforwadie hadi Marehemu baba yako do you think i care?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…