Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
habari mbaya hizi kwa ndala FC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sembo hawa wazee wenu wa busara wanaharibu ladha ya jukwaa. Wanataka tuchangie kama tupo kanisani au msikitini. Ngoja nisepe wasijenitafutia ban bure.Kuna wakati huwa nakuwa na mashaka na watu kama hao nao ni GT? Na ilikuwaje yupo hai hadi leo maana naona akili aliyo nayo haimuwezeshi hata kuvuka barabara... Labda huwa anavushwa cha msingi usibishane nae ndg..
Jikaze mwanza jikaze tizama magoli ya wakubwa52' Mins | Mwadui 0 - 3 Simba
32' , 50' Mo Ibrahim (Simba)
45' Shiza Kichuya (Simba)
********* END OF UPDATE*********
Halafu inashauriwa bao moja kwa afya....Simba waache sifa na jazba zisizo na msingi...Simba Punguzeni Jazba. Ndo nini hivyo?kuna haja gani ya kumfunga mtu bao 3? Acheni jazba bwana. Bao moja tu linatosha.
Halafu inashauriwa bao moja kwa afya....Simba waache sifa na jazba zisizo na msingi...
Simba wanaweza wakakupa raha mpaka ukapata ajali...Paki tu pembeni uendelee kuburudikaBahati Mbaya Leo nipo ndani ya gari
Naangalia kupitia Cm
Nimeshindwa kuendesha aisee
Simba hii!!!!!
Du! Naiwe hivyoKuna siri zimevuja kwamba simba itashinda mechi zote zilizobaki
Nadhani Mama yako Mzazi ndio mwenye akili tuu za Kumsaidia asitembee uchi na si mimi
Tumshukuru Mungu...Kuna siri zimevuja kwamba simba itashinda mechi zote zilizobaki
Mkuu mie maneno ya kimchezo nayajua sana ila si vizuri kukazia maelezo yako na kuyatetea kama ulichofanya ni sawa.. Kumbuka kwenye majukwaa kama haya unakutana na watu wa aina tofauti japo sikulaumu kwa hilosembo hawa wazee wenu wa busara wanaharibu ladha ya jukwaa. Wanataka tuchangie kama tupo kanisani au msikitini. Ngoja nisepe wasijenitafutia ban bure.
Unataka kusema lile goli linaloweza kufungwa kila baada ya miaka 10,
Asante ndugu yangu. Nmesha mforwardia mama yangu hiyo msg nmemwambia imetoka kwako. Ameshukuru na kumkemea shetani anayefanya watoto wa siku hizi wawe wamepagawa. Asante ndugu danny greeny. Maana wewe ni ndugu yangu tu. Huwez kuchagua ndugu. Haya tuendelee kuangalia mpira.
Njaa iachwe ikae tumboni ila ikihamia kichwani ni hatari tupu..Mforwadie hadi Marehemu baba yako do you think i care?