Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Mkuu mie maneno ya kimchezo nayajua sana ila si vizuri kukazia maelezo yako na kuyatetea kama ulichofanya ni sawa.. Kumbuka kwenye majukwaa kama haya unakutana na watu wa aina tofauti japo sikulaumu kwa hilo
Bado iko magotiniNjaa iachwe ikae tumboni ila ikihamia kichwani ni hatari tupu..
Njaa yako imehamia kichwani
Kausheni wakuu sio freshBado iko magotini
Njaa iachwe ikae tumboni ila ikihamia kichwani ni hatari tupu..
Njaa yako imehamia kichwani
Simba tulivotoka mby kwenda kukipga dar wkt watu wapo dar na wakapewa mda wa kujiandaa c hatukusema mbnMmeshaanza kutafuta visababu.. Hii ratiba ilitoka wiki kadhaa kabla ya ligi kuanza.. Kwanini hamkusema mapema?.. Mnyama huyu hakuna wa kumzuia kumchukua mwali.
We jamaa utakuwa umetumwa otherwise kuna kitu kinakuwasha. Hujawa kifimbo cheza humu au unatafuta u moderator kwa nguvu. Achana na mimi sikujui hunijui. Na sioni hatari kula ban we nifate fate tuu kama demu li pashkuna.Mkuu tumwache. Yeye ana uzoefu katika aina hiyo ya maisha. Atatushinda.he has great experience and we are so amateur katika uwanja wa matuzi na mimi na wewe kutokana na malezi ya wazaz wetu hatuna hizo vocabularies za matusi au lugha chafu. Ngoja tuangalie mpira na kutaniana kistaarabu.
πππππ nani kavujisha?Kuna siri zimevuja kwamba simba itashinda mechi zote zilizobaki