Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Mkuu mie maneno ya kimchezo nayajua sana ila si vizuri kukazia maelezo yako na kuyatetea kama ulichofanya ni sawa.. Kumbuka kwenye majukwaa kama haya unakutana na watu wa aina tofauti japo sikulaumu kwa hilo
Kimichezo zigo la mavi ni mchezaji ambaye yuko overrated na hata ukitaka kumuuza leo hii hauziki. Hilo jina tumemuita sana wayne rooney kwenye thread ya Man U. Sasa nashangaa mnakuja kuniletea uwendawazimu mimi. Kama hamjui mpira na ushabiki wake nendeni kwenye majukwaa yenu ya lugha