Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Nahisi kiNewYork eo chako
.Bila ya shaka kuna kitu unatumia na hakikupendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Bila ya shaka kuna kitu unatumia na hakikupendi
Inawezekana kuwa timu hizi zilipokutana mmoja alinunua na mwengine akatumia utaalamu wake. Pengine jawabu la suala lako ungepitia hiyo mechiHivi Simba hawajanunua hii mechi?
Yanga ikishinda, imenunua!
Simba akishinda, ni ufundi wao.
Only in Tanzania!
Inawezekana kuwa timu hizi zilipokutana mmoja alinunua na mwengine akatumia utaalamu wake. Pengine jawabu la suala lako ungepitia hiyo mechi
Simba hii inatibu maumivu ya aina yoyote.Inanisahaulisha maumivu ya MAN UTD.
Vice versa is true.Kila lakheri Mwadui fc wapige haoo 3 tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwaka huu dawa yenu kali..
halafu uwe unaniita bwanaNashukuru kwa kulitambua hilo.
haha.. kuhusu hilo, ondoa shaka.halafu uwe unaniita bwana
Hahaha... Mkuu, mganga wetu ni Joseph Omog.. Nadhani mnamjua. Alafu anasema mpaka sasa dozi aliyotupa tumetumia robo tu.. Sasa sijui tukimaliza dozi nzima, itakuaje?!sembo mtupeleke nasisi yebo yebo kwa mganga wenu jamani