Mwafrika ni bingwa wa kudandia mafanikio ya watu wengine

Mwafrika ni bingwa wa kudandia mafanikio ya watu wengine

Tanzanians

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
265
Reaction score
385
Ni kawaida kwa waafrika walio wengi kipigania kwenda nchi za magharibi kwa gharama kubwa na wakikubaliwa wengine wanafanya sherehe

Mwafrika ni mtu anayependa shortcut ndo moja ya sababu ya nchi nyingi za kiafrika kuishi katika umaskini wa kutisha usio na dalili ya kuisha

Mwafrika akiwa anaishi marekani au nchi yeyote ya western anajiona akili sana kuliko mwafrika anayeishi afrika haya ndo maajabu ya mwafrika

Mwafrika sio mpambanaji bali anapenda kudandia mafanikio ya watu wengine waliopigania kwa jasho na damu na kwa sababu hii ataishia kudharauliwa mpaka atakapoamua kubadilika kifikra
 
Ebu tuambie ulichokigundua au kukibuni hadi sasa wewe mwafrika mwenzetu ulio tofauti na sisi.
 
Ebu tuambie ulichokigundua au kukibuni hadi sasa wewe mwafrika mwenzetu ulio tofauti na sisi.
Kuna sehemu nimejisifia kwa chochote ebu nionyeshe
Mtu akisema afrika ni maskini usimchukie anaongea ukweli
 
MKuu kunywa soda popote ulipo nalipia. ulichokizungumza ni 100% true.
 
Mwafrika anapenda kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu : Mwafrika anapenda ushabiki , unakuta mtu anajiona na pesa kwa kununua magari kutoka nje ,kikubwa mwafrika anapenda kuwa juu ya mwenzie..Mwafrika anapenda ushabiki kila kona ,sio uchumi ,mpira mpaka vita.
 
Ni kawaida kwa waafrika walio wengi kipigania kwenda nchi za magharibi kwa gharama kubwa na wakikubaliwa wengine wanafanya shareholders

Mwafrika ni mtu anayependa shortcut ndo moja ya sababu ya nchi nyingi za kiafrika kuishi katika umaskini wa kutisha usio na dalili ya kuisha

Mwafrika akiwa anaishi marekani au nchi yeyote ya western anajiona akili sana kuliko mwafrika anayeishi afrika haya ndo maajabu ya mwafrika

Mwafrika sio mpambanaji bali anapenda kudandia mafanikio ya watu wengine waliopigania kwa jasho na damu na kwa sababu hii ataishia kudharauliwa mpaka atakapoamua kubadilika kifikra
Hii kweli hata tamaduni zao wameona hazina maana. mkute mwafrica half cast anajiona mzungu kuliko hata wazungu wenyewe
 
Back
Top Bottom