Tanzanians
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 265
- 385
Kuna sehemu nimejisifia kwa chochote ebu nionyesheEbu tuambie ulichokigundua au kukibuni hadi sasa wewe mwafrika mwenzetu ulio tofauti na sisi.
Hii kweli hata tamaduni zao wameona hazina maana. mkute mwafrica half cast anajiona mzungu kuliko hata wazungu wenyeweNi kawaida kwa waafrika walio wengi kipigania kwenda nchi za magharibi kwa gharama kubwa na wakikubaliwa wengine wanafanya shareholders
Mwafrika ni mtu anayependa shortcut ndo moja ya sababu ya nchi nyingi za kiafrika kuishi katika umaskini wa kutisha usio na dalili ya kuisha
Mwafrika akiwa anaishi marekani au nchi yeyote ya western anajiona akili sana kuliko mwafrika anayeishi afrika haya ndo maajabu ya mwafrika
Mwafrika sio mpambanaji bali anapenda kudandia mafanikio ya watu wengine waliopigania kwa jasho na damu na kwa sababu hii ataishia kudharauliwa mpaka atakapoamua kubadilika kifikra