Mwafrika wa Kwanza kushinda Medali ya Dhahabu Mbio za 200 kwa Wanaume Olympics 2024

Mwafrika wa Kwanza kushinda Medali ya Dhahabu Mbio za 200 kwa Wanaume Olympics 2024

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
1723189134071.png
Letsile Tebogo (21) kutoka Botswana amekuwa Mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu mbio za mita 200 kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki Agosti 8, 2024.
Amefanikiwa kuvunja rekodi ya Kenny Bednarek na Noah Tyles na kutajwa kama “Mwanaume mwenye kasi zaidi duniani”
Alifanikiwa kushinda kwa kumaliza mashindani hayo ndani ya sekunde 19.46​

===============For English Audience==================​
Botswana's Letsile Tebogo claimed a surprise Olympic 200m gold medal as Noah Lyles was denied a sprint double at Paris 2024.

Tebogo, 21, stormed clear of his rivals to clock an African record of 19.46 seconds and finish ahead of American Kenneth Bednarek, who crossed the line in 19.62.

Lyles, crowned the world's fastest man by five-thousandths of a second in a historically quick 100m final on Sunday night, was unable to compete at the head of the race and matched his Tokyo bronze in 19.70.

It emerged after the race that Lyles had tested positive for Covid and the 27-year-old had to be helped off the track in a wheelchair.

Having burst out on to the track to huge cheers before the race, Lyles was seeking to become the first man since Usain Bolt in 2016 to complete a 100m and 200m double at an Olympic Games.

But Tebogo had other ideas.

A world bronze medallist over the distance last year, Tebogo also took 100m silver in Budapest as Lyles completed a golden treble.

That was a dazzling return for Tebogo at his first senior global championship, but it was nothing compared to his achievement at the Stade de France as he marked his first Olympics with a gold.

Tebogo, sixth in the Paris 100m final, lined up with a 200m personal best of 19.50 – notably down on the favourite's 19.31.

Showman Lyles made his entrance to huge excitement, seemingly ready to seize his moment with the eyes of the world fixed upon him, but he remained third throughout following a slow start.

Bednarek held out to equal his silver of three years ago in Tokyo - a medal he also won at the 2022 World Championships - but could not overhaul Tebogo, who sprinted clear to win Botswana's first ever Olympic gold medal.

SOURCE: BBC SPORTS
 
Shida siyo hatujishughulishi bali serikali iliyopewa dhamana kupitia wizara inaonesha mipango gani? Kama sera ni mbovu wewe utakimbia kama nguruwe au digidigi na hakuna sehemu utakwenda kushiriki.
Uko sahihi kabisa. Vipaji kama hivi vinatambulika tangu utotoni na kuendelezwa. Shule zetu za siku hizi hazina hata viwanja tutegemee nini? Shule imekuwa sehemu ya kwenda kukariri na siyo kujifunza mambo mbalimbali.
 
Wizara ya Michezo imekuwa na ujinga mwingi sana, haitambui kuwa ndiyo wizara pekee yenye uwezo wa kuzalisha ajira nyingi sana kwa vijana kwa kuweka mikakati ya vijana kuendeleza vipaji vya miziki, sanaa ya mikono, utimamu wa mwili na Akili pamoja na michezo mbalimbali.
Then, Serikali inamchukua mtu bogus flani hivi anaetanguliza siasa ili yeye ajikite kwenye vyombo vya habari kuendelea kutangaza wanasiasa na kutupilia mbali kutangaza michezo.

Leo unashangaa hakuna sera ya kuhimiza na kuhamasisha vyombo vya habari kutangaza na kuonesha michezo mbalimbali yanayofanyika Afrika Mashariki, Afrika au Duniani ili vijana waweze kuona ni kwa namna gani wanatakiwa kushiriki.

WIZARA YA MICHEZO WAMELALA.
 
Ni tatizo la CCM kwa ujumla. Wewe hushangai kuwa ligi yetu ina wachezaji wa kulipwa wengi badala wangelazimisha timu ziwe na mechanism za kuibua na kuendeleza vipaji? Fedha zinazotumika kulipa wageni zingewekwa zaidi kwenye vipaji.
 
Shida siyo hatujishughulishi bali serikali iliyopewa dhamana kupitia wizara inaonesha mipango gani? Kama sera ni mbovu wewe utakimbia kama nguruwe au digidigi na hakuna sehemu utakwenda kushiriki.
😀😀😀 haha.
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
 
Sisi tupigane kuwaomba Mabosi wa Olimpiki kuingiza michezo ya watu kupigana majungu, kupiga umbea, kujipendekeza, kupiga madili, uchawa, nk. Ili na sisi tukajinyakulie medali za kutosha.
 
Sisi tupambane kuwaomba Mabosi wa Olimpiki kuingiza michezo ya watu kupigana majungu, kupiga umbea, kujipendekeza, kurogana, kupiga madili, uchawa, nk. Ili na sisi tukajinyakulie medali za kutosha.
 
Sisi tupambane kuwaomba Mabosi wa Olimpiki kuingiza michezo ya watu kupigana majungu, kungonoka, kupiga umbea, kujipendekeza, kurogana, kupiga madili, uchawa, nk. Ili na sisi tukajinyakulie medali za kutosha.
 
Back
Top Bottom