Mwafrika yeyote siyo Bin -Adam

Mwafrika yeyote siyo Bin -Adam

Attachments

  • 2025_03_12_20.08.01.png
    2025_03_12_20.08.01.png
    459 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_20.10.31.png
    2025_03_12_20.10.31.png
    482.6 KB · Views: 0
  • 2025_03_12_20.10.55.png
    2025_03_12_20.10.55.png
    442.1 KB · Views: 0
  • 2025_03_12_20.14.02.png
    2025_03_12_20.14.02.png
    469.2 KB · Views: 0
Unaweza kubishana na kichaa?
Shughulisha akili yako acha kumeza na kukariri mambo kwa maisha yako yote hoji na kutafakari siyo kila ulilolikuta au unalokutana nalo unaliamini tu utakuja kukuta baba au mtoto siyo wako kisa umeambiwa tu ni wako basi ukaamini na huitaji hata kudadisi tabia za baba au mtoto je zinaendana na wewe??
 

Attachments

  • 2025_03_12_20.14.02.png
    2025_03_12_20.14.02.png
    469.2 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_20.10.55.png
    2025_03_12_20.10.55.png
    442.1 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_20.10.31.png
    2025_03_12_20.10.31.png
    482.6 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_20.08.01.png
    2025_03_12_20.08.01.png
    459 KB · Views: 1
Afya ya Akili ni Muhimu sana
Adam ni mtu wa kwanza katika biblia siyo ulimwenguni na labda ndiye alitokana na udongo huko kwa wazungu/waebrania lakini siyo kwa WAAFRIKA wanaotokana na shahawa na manii,wewe ndiyo una tatizo la afya ya akili huwezi kung'ang'ania kitu ambacho huna asili macho na hutaki kujifikirisha juu ya ukweli wake.
 

Attachments

  • 2025_03_12_21.05.50.png
    2025_03_12_21.05.50.png
    505.5 KB · Views: 1
Mwanasayansi Darwin, alikuwa anahadaa Waafrika kuhusu theory yake "Darwinism " ni sisi tu Waafrika tumetokana na nyani. Adam alikuwa mzungu.
 
Mwanasayansi Darwin, alikuwa anahadaa Waafrika kuhusu theory yake "Darwinism " ni sisi tu Waafrika tumetokana na nyani. Adam alikuwa mzungu.
Hakuna MTU aliyetokana na nyani na ingekuwa hivyo basi hadi leo nyani wangekuwa vhanzo cha WATU na siyo shahawa na manii labda huyo binadamu wa kwenye biblia ndiyo alitokana na manyani na kuletwa kupandikizwa vichwani mwa wafia dini wa Afrika
 
Mimi siyo myunani na siishi kiyunani bali ni Mwafrika ninayekienzi kiswahili katika kupambanua mambo siyo kukariri mambo
Basi zingatia ya kwamba Bible imetafdiriwa kwa lugha nyingi.. Hi yo argument yako ilipaswa kuangazia kwenye original version
Nata Mimi ni Mswahili mweusi tii na naienzi lugha yangu lakini siwezi kujidanganya kwamba nitaishi na Kiswahili pekee bila muunganiko na lugha zingine
 
Taratibu waafrika wanaanza kuamka kutoka katika usingizi wa kidini uliowafunga kwa miaka mingi.

Haya mambo yako wazi wala hayahitaji akili nyingi kugundua kuwa biblia+quran ni upuuzi mtupu, suala la uumbwaji wa binadamu/mtu wa mwanzo lina utata na uongo mwingi.
Iko hivi, kama Kiumbe huyo aliumbwa kwa udongo basi kiumbe huyo angefanana na rangi ya udongo vilevile wazawa wa kiumbe uyo aliyeumbwa kwa udongo wangekuwa sawa na mzazi wake,
👉practically ukitengeneza kinyago/sanamu kwa kutumia udongo iyo ni lazima sanamu iyo itaendana rangi na huo udongo haijalishi ni udongo wa aina gani, lazima sanamu hiyo itakuwa na muonekano wa mtu mweusi, je hao wazungu/waarabu wa vitabu vyenu vya kidini walitoka wapi? Inaweekana vipi mzungu/mwarabu apate taswira au muonekano kwa kuundwa na udongo bila ya editing ya kuongeza fake features kama kupaka rangi? Hapa ndipo mnatakiwa mjue uongo wa hizi dini.

Pili kuna suala la kibiolojia kuwa kama hao watu wa mwanzo walikua weupe, je ni muujiza gani ulifanyika mpaka wakawazaa watu weusi? Yaani adamu wazawa wake ambao bloodline yao inakuja mpaka kwa akina Nuhu na watoto wake wa akina Nam ambaye kwa mujibu wa dini ndie baba wa watu weusi, huu utata mkubwa, hivi mpaka leo hii kuna mzungu aliyewai kuzaa mtoto mweusi bila ya muingiliano na mtu mweusi?.

Vile vile kuhusu waarabu hawa nao wana maandiko yao kuwa wao chanzo chao ni uzao wa ibrahimu baada ya kuzaa na kijakazi kutoka misri, na ujue hapo kabla misri ilikuwa tawala na ardhi ya watu weusi ambao hata maandiko yao yanaonesha yule baba wa watu weusi alipata watoto ambao ndie huyo mmisri pia akiwepo na mkushi/muethiopia, sasa baada ya ibrahimu kuzaa na uyo binti wa kimisria ambaye ni mtu mweusi itawezekana vipi mtoto ambaye ni Ishmael awe mwarabu?,

Huu muujiza aisee kama baba ibrahimu alikuwa mtu mweupe kwa mujibu wao sasa endapo angezaa na mmisri mweusi huyo muarabu alitokea vipi? Wakati kiuhalisia mtoto ambaye ni Ishmael alitakiwa kuwa chotara mfano wa black american/Mexican/brazilian kulingana na race ya ibrahimu ambaye leo hii wanadai ndie asili ya hawa fake jews wa hapo middle east, kwa hili waislamu walipigwa vibaya mno yaani wamepotoshwa mpaka wakapotosheka, waarabu hawana asili kutoka kwa Ishmael, na wala Ishmael kama angekuwepo kweli asingekua baba wa waarabu bali angekuwa baba wa machotara ya watu weusi na myahudi ambao muonekano wao si wa uarabu.

Ukifuatilia kwa undani hizi dini utagundua kuna ujanja ujanja mwingi ulitungwa ili kificha asili ya maisha ya dunia na viumbe wake, hasa inapokuja asili ya watu weusi.

Nikweli kuwa mtu mweusi si binadamu na binadamu hawezi kuwa mtu, kuna tofauti ya mtu na binadamu.

Mtu ni kiumbe aliyekamilika mwenye asili ya Utu baada ya kutengenezewa mwili nguvu ya uungu(Roho) ikauvaa mwili na kuunda kiumbe mpya ambaye ndie mtu, na binadamu ni matokeo ya kiumbe mtu kufanyiwa modification ya kibiolojia kwa kuondoa ile asili ya Uungu/DNA ya asili/melanin na kuunda kiumbe mpya ambaye anauhalisia fake/copy kutoka kwa MTU(black) hili liko wazi hata hao wazungu wanalijua hili.

Watu wote weusi wana DNA sawa yenye Uungu ndani yao ambayo binadamu mweupe/chotara hawezi kuwa nayo,.

Hili hata babu zetu walilitambua ndiomaana mtu yeyote mweusi walimuita kwa jina moja kutegemeana na lugha za kibantu kama MUTU, MTU, Umutu, tofauti na mwanadamu mweupe ambaye baadhi walimuita mzawa wa shetan, wengine kwa majina ya ajabu na wengine kuwaita mwana wa shetan, wengine majina ya ajabu ajabu tofauti na mtu mweusi.
Tofauti na hii Leo ambapo watu weusi wamekengeuka wanalazimisha umoja na mfanano kati ya watu weusi na binadamu weupe, lkn asili na uhalisia utabaki pale pale Mtu mweusi hatowai na hawezi kuja kuwa sawa na binadamu mweupe haijawai na haitowai kuwezekana, ni kama kulazimisha kuku wa kienyeji abadili asili yake kuwa wa kisasa(G.M.O) bila ya kumzalisha kiumbe kipya, yaani huwezi badili asili ya kiumbe isipokuwa kwa kubadili DNA zake na kuzalisha kiumbe kipya chotara ambacho ndio mnaita kisasa(FAKE/SATANIC Creature).

Kuna mengi sana ambayo watu weusi wanatakiwa kuyajua na kuyatambua kuhusu uhalisia wa maisha yao, na watambue makubwa na maajabu ambayo hawajawai kuyajua sababu ya kukumbatia hizo takataka za kidini za uislamu+ukristo..

Mababu wa Wazungu+waarabu waliujua ukweli kuhusu Afrika na watu weusi ndiomaana wakaleta hizi dini zao za kipuuzi ili kumtoa mtu mweusi katika asili yake na kumpa hiyo Miungu yao tuabudu wakati kiuhalisia sisi ni wakuu kuliko hata hiyo Miungu yao, namaanisha mtu mweusi ni Mkuu kuliko hiyo Miungu ya wageni, wao na miungu yao ndie walitakiwa kutusujudia sisi na kutuheshimu na si hivi walivyofanya kutuaminisha uongo, Mtu Mweusi ndie MUNGU wa huu ulimwengu na ndie Mkuu kuliko hao viumbe mnaowaita majini sijui na wengine mnawaita Miungu wakina Yesu, Allah, Yehova, Elishadai hizi zote ni takataka za mizimu yao wala haina sifa za Uungu, bali mashetan katika majina ya vificho.

Naishia hapa.
 
JF limekuwa jukwaa la hovyo sana siku hizi. Wehu mnaandaika vitu bila ya kutoa hoja zenye mashiko. Sawa sisi sio Binaadamu haya tueleze basi asili yetu sisi ni ipi. Kuhusu wanyama sisi hatujui maana tuliwakuta.
 
Basi zingatia ya kwamba Bible imetafdiriwa kwa lugha nyingi.. Hi yo argument yako ilipaswa kuangazia kwenye original version
Nata Mimi ni Mswahili mweusi tii na naienzi lugha yangu lakini siwezi kujidanganya kwamba nitaishi na Kiswahili pekee bila muunganiko na lugha zingine
Tafasiri za lugha nyingi haziondii msingi na madhumuni hasa ya biblia ambayo ni kuitawala Afrika kupitia UKOLON,hata maandiko ya kiswahili yanaweza kutafasikiwa kwa kiingereza na kubaki na maana na madhumuni yake yaleyale kupenyeza ukoloni
 
JF limekuwa jukwaa la hovyo sana siku hizi. Wehu mnaandaika vitu bila ya kutoa hoja zenye mashiko. Sawa sisi sio Binaadamu haya tueleze basi asili yetu sisi ni ipi. Kuhusu wanyama sisi hatujui maana tuliwakuta.
Kichaa ni wewe usiyehitaji kuifikirisha akili yako kwa kukariri na kumeza ujinga ulioleyewa na wakoloni na waarabu kwa kuegemea upande mmoja wa ulicholishwa,je kabla ya ukoloni WAAFRIKA walijulikana kuwa ni WANA wa adamu?

Unaishii kwa kukariri mambo pasipo kutafuta ukweli wa mambo,mjinga kama wewe ni jiwe usiyetaka kutafakari na kudadisi ukweli wa mambo unayokutana nayo,umejazwa mzigo wa ujinga kichwani mwako kama gunia la misunari.

Bin-Adamu siyo MWAFRIKA bali ni kiumbe aliyetokana na Adamu wa uongo aliyeumbwa kwa udongo huko kwa waebrania kama wafiadinii mlivyoaminishwa kwa maanndiko ya kutungwa ili mtawaliwe kifira hadi leo ,hata kichaa ukimuuliza anaelewa ninii juu ya Adamu na Bin-adamu atakujibu binadamu yoyote ni mmwanaa wa adamu na hana vinasaba na WAAFRIKA.

ASILI ya MWAFRIKA ni MTU wa AFRIKA siyyo Adamu wa mchongo wa Wazungu au waarabu
 
Ukitaka kutambua kuwa wewe siyo BIN-ADAMU na ASILI yako siyo ADAMU tafuta ukoo wa huyo adamu watakupa uhalisia na kukueleza ukweli kuwa katika ukoo wao hawana ndugu MWAFRIKA kama wewe bali mnakipendekeza.
 
Kichaa ni wewe usiyehitaji kuifikirisha akili yako kwa kukariri na kumeza ujinga ulioleyewa na wakoloni na waarabu kwa kuegemea upande mmoja wa ulicholishwa,je kabla ya ukoloni WAAFRIKA walijulikana kuwa ni WANA wa adamu?

Unaishii kwa kukariri mambo pasipo kutafuta ukweli wa mambo,mjinga kama wewe ni jiwe usiyetaka kutafakari na kudadisi ukweli wa mambo unayokutana nayo,umejazwa mzigo wa ujinga kichwani mwako kama gunia la misunari.

Bin-Adamu siyo MWAFRIKA bali ni kiumbe aliyetokana na Adamu wa uongo aliyeumbwa kwa udongo huko kwa waebrania kama wafiadinii mlivyoaminishwa kwa maanndiko ya kutungwa ili mtawaliwe kifira hadi leo ,hata kichaa ukimuuliza anaelewa ninii juu ya Adamu na Bin-adamu atakujibu binadamu yoyote ni mmwanaa wa adamu na hana vinasaba na WAAFRIKA.

ASILI ya MWAFRIKA ni MTU wa AFRIKA siyyo Adamu wa mchongo wa Wazungu au waarabu
Soma hapo ulipoandiaka '"..bin adamu siyo mwafrika bali ni kiumbe aliyetokana na adamu..." ndio umekusudia kusema nini?
 
Kwa hiyo sisi ni kipeuo cha pili cha mwanadamu au unatuweka kundi moja na nyani kama tulivyoaminishwa na wanasayansi?
 
Sometimes watu wanajiandikia tu
Ukubali au usikubali WAAFRIKA wafia dini ni janga linaloikabiri Afrika kwa sasa kwa sababu hawataki kutafuta ukweli wanaenda kama walivyokuta mambo yamewekwa nauhakika kuwa neno neno Binadamu asili yake ni Adam ambaye asili yake ni udongo kwa maana ya Waebrania kupia biblia wakaaminishwa wazungu kuwa ni MTU wa kwanza wa watu wote duniani kitu ambacho siyo kweli.

Neno BIN-ADAMU halitokani na neno DAMU bali ADAM na kwa mantiki hiyo basi binadamu wote ni wana wa adamu na lazima wawe wazungu waliotokana na udongo.
 
Soma hapo ulipoandiaka '"..bin adamu siyo mwafrika bali ni kiumbe aliyetokana na adamu..." ndio umekusudia kusema nini?
Nimekujibu kwa style hiyo kwa maana za haohao waliokulisha ujinga na kukutawala kwani nao kwasasa wapo wanaopigania kuwakomboa WAFIADINI wa Kiafrika,soma hapa
 

Attachments

  • 2025_03_12_20.08.01.png
    2025_03_12_20.08.01.png
    459 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_20.10.31.png
    2025_03_12_20.10.31.png
    482.6 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_20.10.55.png
    2025_03_12_20.10.55.png
    442.1 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_20.14.02.png
    2025_03_12_20.14.02.png
    469.2 KB · Views: 1
  • 2025_03_12_21.05.50.png
    2025_03_12_21.05.50.png
    505.5 KB · Views: 1
Na mkumbuke nyie WAFIA DINI kuwa Adam ni jina la kwanza analopewa MTU wa kwenye biblia na siyo MTU wa kwanza ULIMWENGUNI na huyo adamu ni wa udongo mwekundu(mzungu) na siyo udongo mweusi(MWAFRIKA) sasa huyo adamu wapi na wapi awe chanzo na asili ya MWAFRIKA.

WAAFRIKA SITUKENI!!
 
Back
Top Bottom