HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
- Thread starter
- #81
Hauko sahihi kabisa weka hapo chanzo halisi cha matokeo ya utafiti huo ikiwa ni andiko la taasisi fulani siyo andiko la instagram,nakuuliza kama bin adam alitokana na babu na bibi mmoja na wannadamu wote duniani ni ndugu kwani kuwe na matabaka ya WACHINA,WAAFRIKA na WAZUNGU na bado watofautia ktk DNA kwa misingi ya ASILI zao??Binadamu wote wana asili moja ...
View attachment 3268701
Za kulishwa changanya na zako!!