Mwafrika yeyote siyo Bin -Adam

Mwafrika yeyote siyo Bin -Adam

kuna theory moja ina suggest binadamu kuanzia Afrika kwenda huko duniani.

Nyingine inasuggest binadamu kutoka kwenye jamii ya Apes na mengineyo.

Nyingine inaongelea habari za kuumbwa binadamu na mwenyezi Mungu.

Kwa upande wako hili wazo umetoa wapi? Au ni study yako upo unafanya tukupe muda
 
Hizo theories sizimetolewa na watu tu , hata yeye ni mtu anaweza toa ya kwake tu
 
kuna theory moja ina suggest binadamu kuanzia Afrika kwenda huko duniani.

Nyingine inasuggest binadamu kutoka kwenye jamii ya Apes na mengineyo.

Nyingine inaongelea habari za kuumbwa binadamu na mwenyezi Mungu.

Kwa upande wako hili wazo umetoa wapi? Au ni study yako upo unafanya tukupe muda
Kwanza nikupe pole kwa kuishi kwa kukariri pasipo kudadisi,kutafakari na kuchanganya na za kwako.

Kwa utafiti na udadisi wangu nimepata ufahamu juu ya neno "binadamu" kuwa lometokana na neno "bini" ikimaanisha nasaba ya upande wa "BABA" na siyo "DAMU".

Neno "binadamu" asili yake ni jina "Adam" ambaye wajinga wa kikristo wanaamini ni baba yao hivyo kupelekea maana ya "binadamu" yeyote yule kuwa na nasaba ya uzao wa adam wa kwenye biblia.

Tambua neno "-damu" kwenye neno "binadamu" liko mwishoni hivyo siyo mzizi bali neno "bin- " liko mwanzoni hivyo ndiyo mzizi wa neno "bin-Adamu".

Nimekuwekea moja ya maana na rejeo la maana ya "ubini" ikiwa ni uwakilishi wa neno "bin-".

Usisome kama kondoo au kujiita "binadamu" wakati asili na vinasaba vyakonsiyo vya Adam wewe ni "MTU" kwa asili ya neno la"UMUNTU" lililotokana na neno "BANTU"

Jitafakari sana!!
 
Attachments

  • 2025_03_07_16.40.39.png
    2025_03_07_16.40.39.png
    237.7 KB · Views: 2
Kwaiyo sisi ni APES

kwaiyo ww ni orangutan
Wewe ni "MTU" kutokana na asili ya WAAFRIKA wote kuwa na vinasaba vya "BANTU" ndani ya Afrika ndiyo maana tuna sauti za "KIBANTU" na siyo sauti za "KIBINADAMU".

Huu ni wakati wa kila MTU wa Afrika kudadisi kila kilicholetwa na UKOLONI na UTUMWA kama madhar yake ikiwemo UISLAM na UKRISTO.

Fungua na ongeza upeo wa kufikiri,plz!!
 
Bin-Adam ni MTU aliye na asili ya ukoo au uzaio wa ADAM wa mchongo wa kwenye biblia wewe Mwafrika siyo ukoo wa Adam na unapaswa kujitambulisha kama MTU kwa ubini wa asili yako.

Short and clear mwenye kubisha aje
Adam kwa maana ya mtu wa kwanza, hakuwahi kuwepo.

Hiyo ni hadithi ya kutungwa na Wayahudi tu.
 
Kwahiyo wewe chanzo chako ni wapi kwa maana watu huamini chanzo cha koo na asili ya watu wote wa Dunia kilianzia hapo kwa Adam
Usiseme watu wote uamini hivyo sema wewe MJINGA ndiyo unaamini hivyo.

Neno BIN-ADAMU limeletwa na ukoloni na utumwa kupitia ukristo na uislam kama ilivyo kwenye vitabu vyao vya quruan na biblia ambavyo kwa pamoja ni RIWAYA ZA ULAGHAI(FICTION).

Je umewahi kujiuliza je kabla ya uislam na ukiristo kulikuwa na jina la Adam?

Elewa adam alikuwa mtu mweupe na wewe ni mweusi ambaye hauna vinasaba vya kizungu au kiarabu na koo zote za AFRIKA hazina vinasaba vya kizungu au kiarabu.

Ni rahisi WAAFRIKA wote wakawa ndugu lakini siyo WAZUNGU au WAARABU kuwa ndugu na WAAFRIKA kwani asili yao siyo ukoo wa Adamu.

We ni BIN-Mwasomola,Kaijage,Mbowe,Komba,nk.

Acha ujinga uwe unasoma na kujihoji uweze kuwa na maarifa acha kujiburuza na kuishi kwa kuamini ulichokikuta pasipo kuihoji akili yako,haya nimekuwekea tafisiri ya haohao wazungu na waarabu,bado ubishe kama kawaida yenu
 
Attachments

  • 2025_03_07_17.12.40.png
    2025_03_07_17.12.40.png
    444.2 KB · Views: 2
Mtoa mada umekurupuka, huenda hujui kwanini binadamu wana rangi tofauti.
Kwa wale wenzangu wanaoamini kwamba tumeumbwa kwa udongo pia wanafahamu kwamba hata udongo upo wa aina na rangi tofauti.
Huo ujinga ulionao ni speed ya 7G ,KUAMINI na KUELEWA unacholetewa au kumezeshwa ni vitu viwili tofauti ,kwa mwenye akili kama mimi nilianza kujiuliza kama kweli WATU WOTE (siyo BIN-ADAMU wote unielewe hapa) walitokana na udongo je samaki ,mbwa,kuku,miti,nk ilitokana na nini?

Kama kweli MTU/binadamu alitokana na udongo je SHAHAWA na MANII nazo ni UDONGO? na je kwanini leo kusiwe na mwendelezo wa UDONGO KUWA WATU/BINADAMU?

Acha ujinga wa kukariri ujinga jiongeze na ufanyishe kazi UBONGO wako ili uwe na ufahamu,ken**e wewe!!
 
Usiseme watu wote uamini hivyo sema wewe MJINGA ndiyo unaamini hivyo.

Neno BIN-ADAMU limeletwa na ukoloni na utumwa kupitia ukristo na uislam kama ilivyo kwenye vitabu vyao vya quruan na biblia ambavyo kwa pamoja ni RIWAYA ZA ULAGHAI(FICTION).

Je umewahi kujiuliza je kabla ya uislam na ukiristo kulikuwa na jina la Adam?

Elewa adam alikuwa mtu mweupe na wewe ni mweusi ambaye hauna vinasaba vya kizungu au kiarabu na koo zote za AFRIKA hazina vinasaba vya kizungu au kiarabu.

Ni rahisi WAAFRIKA wote wakawa ndugu lakini siyo WAZUNGU au WAARABU kuwa ndugu na WAAFRIKA kwani asili yao siyo ukoo wa Adamu.

We ni BIN-Mwasomola,Kaijage,Mbowe,Komba,nk.

Acha ujinga uwe unasoma na kujihoji uweze kuwa na maarifa acha kujiburuza na kuishi kwa kuamini ulichokikuta pasipo kuihoji akili yako,haya nimekuwekea tafisiri ya haohao wazungu na waarabu,bado ubishe kama kawaida yenu
Nashukuru kwa kunielewesha mkuu ila ni kama umenielewesha kwa jazba sana, anyway labda ndio namna unavyoeleweshaga watu pale wanapouliza maswali kwaajiri ya kujifunza.😊😊
 
Hiyo ni hofu yako hata wakoloni walipokuwa wanawaingizia huu ujinga ambao mnaita UISLAM na UKRISTO yaani dini mlikuwa mnatandikwanviboko hata sasa huko madrasa na shule za jumapili mnatandikwa viboko ili kukaririshwa ujinga huo vivyo hivyo inabidi kuutoa huo ujinga nitumie nguvu ya jaziba na ukali ili kuweka msisitizo katika UKOMBOZI WA MWAFRIKA
 
Neno bin Adamu ni kiarabu

kwa kibantu sisi ni bhabantu wingi au mbhntu umoja..
mtu au watu kwa waafrika
ingawa kuna makabila mengi sio asili ya kibantu ila wabantu ni wengi huku Africa

Sisi ni watu sio bin adamu!
 
Wewe ni "MTU" kutokana na asili ya WAAFRIKA wote kuwa na vinasaba vya "BANTU" ndani ya Afrika ndiyo maana tuna sauti za "KIBANTU" na siyo sauti za "KIBINADAMU".

Huu ni wakati wa kila MTU wa Afrika kudadisi kila kilicholetwa na UKOLONI na UTUMWA kama madhar yake ikiwemo UISLAM na UKRISTO.

Fungua na ongeza upeo wa kufikiri,plz!!
Vizuri mkuu kwahiyo huyo BANTU nae una historia yake tukafaidika na sisi!
 
N
Nashukuru kwa kunielewesha mkuu ila ni kama umenielewesha kwa jazba sana, anyway labda ndio namna unavyoeleweshaga watu pale wanapouliza maswali kwaajiri ya kujifunza.😊😊
Ni kupongeze kwa kuwa mtu wa kwanza humu kukubali na kuungana na mimi juu ya hili,Mungu akuongoze upate kuwa HURU na kuondoka na fikra za ukoloni mambo leo
 
Hiyo ni hofu yako hata wakoloni walipokuwa wanawaingizia huu ujinga ambao mnaita UISLAM na UKRISTO yaani dini mlikuwa mnatandikwanviboko hata sasa huko madrasa na shule za jumapili mnatandikwa viboko ili kukaririshwa ujinga huo vivyo hivyo inabidi kuutoa huo ujinga nitumie nguvu ya jaziba na ukali ili kuweka msisitizo katika UKOMBOZI WA MWAFRIKA
Asante kwa kunitoa ujinga mkuu😅😅😅...

Kwahiyo sisi chimbuko letu lilianzia wapi, kama hiyo bin adam haituhusu ni nini kinachotumika kutuunganisha kama jamii moja?
 
Back
Top Bottom