Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo theories sizimetolewa na watu tu , hata yeye ni mtu anaweza toa ya kwake tukuna theory moja ina suggest binadamu kuanzia Afrika kwenda huko duniani.
Nyingine inasuggest binadamu kutoka kwenye jamii ya Apes na mengineyo.
Nyingine inaongelea habari za kuumbwa binadamu na mwenyezi Mungu.
Kwa upande wako hili wazo umetoa wapi? Au ni study yako upo unafanya tukupe muda
Kwanza nikupe pole kwa kuishi kwa kukariri pasipo kudadisi,kutafakari na kuchanganya na za kwako.kuna theory moja ina suggest binadamu kuanzia Afrika kwenda huko duniani.
Nyingine inasuggest binadamu kutoka kwenye jamii ya Apes na mengineyo.
Nyingine inaongelea habari za kuumbwa binadamu na mwenyezi Mungu.
Kwa upande wako hili wazo umetoa wapi? Au ni study yako upo unafanya tukupe muda
Wewe ni "MTU" kutokana na asili ya WAAFRIKA wote kuwa na vinasaba vya "BANTU" ndani ya Afrika ndiyo maana tuna sauti za "KIBANTU" na siyo sauti za "KIBINADAMU".Kwaiyo sisi ni APES
kwaiyo ww ni orangutan
Adam kwa maana ya mtu wa kwanza, hakuwahi kuwepo.Bin-Adam ni MTU aliye na asili ya ukoo au uzaio wa ADAM wa mchongo wa kwenye biblia wewe Mwafrika siyo ukoo wa Adam na unapaswa kujitambulisha kama MTU kwa ubini wa asili yako.
Short and clear mwenye kubisha aje
Usiseme watu wote uamini hivyo sema wewe MJINGA ndiyo unaamini hivyo.Kwahiyo wewe chanzo chako ni wapi kwa maana watu huamini chanzo cha koo na asili ya watu wote wa Dunia kilianzia hapo kwa Adam
Huo ujinga ulionao ni speed ya 7G ,KUAMINI na KUELEWA unacholetewa au kumezeshwa ni vitu viwili tofauti ,kwa mwenye akili kama mimi nilianza kujiuliza kama kweli WATU WOTE (siyo BIN-ADAMU wote unielewe hapa) walitokana na udongo je samaki ,mbwa,kuku,miti,nk ilitokana na nini?Mtoa mada umekurupuka, huenda hujui kwanini binadamu wana rangi tofauti.
Kwa wale wenzangu wanaoamini kwamba tumeumbwa kwa udongo pia wanafahamu kwamba hata udongo upo wa aina na rangi tofauti.
Thibitisha kwa akili zako kuwa wewe ni binadamu basi kwa hoja zako za kijinga ulizo kopi na kupasteKwa akili hizi unathibitisha kuwa kweli wewe si binàdamu.
Nashukuru kwa kunielewesha mkuu ila ni kama umenielewesha kwa jazba sana, anyway labda ndio namna unavyoeleweshaga watu pale wanapouliza maswali kwaajiri ya kujifunza.😊😊Usiseme watu wote uamini hivyo sema wewe MJINGA ndiyo unaamini hivyo.
Neno BIN-ADAMU limeletwa na ukoloni na utumwa kupitia ukristo na uislam kama ilivyo kwenye vitabu vyao vya quruan na biblia ambavyo kwa pamoja ni RIWAYA ZA ULAGHAI(FICTION).
Je umewahi kujiuliza je kabla ya uislam na ukiristo kulikuwa na jina la Adam?
Elewa adam alikuwa mtu mweupe na wewe ni mweusi ambaye hauna vinasaba vya kizungu au kiarabu na koo zote za AFRIKA hazina vinasaba vya kizungu au kiarabu.
Ni rahisi WAAFRIKA wote wakawa ndugu lakini siyo WAZUNGU au WAARABU kuwa ndugu na WAAFRIKA kwani asili yao siyo ukoo wa Adamu.
We ni BIN-Mwasomola,Kaijage,Mbowe,Komba,nk.
Acha ujinga uwe unasoma na kujihoji uweze kuwa na maarifa acha kujiburuza na kuishi kwa kuamini ulichokikuta pasipo kuihoji akili yako,haya nimekuwekea tafisiri ya haohao wazungu na waarabu,bado ubishe kama kawaida yenu
Soma hapo chini na ujiongezeSisi ni akina Bin nani.??
Hiyo ni hofu yako hata wakoloni walipokuwa wanawaingizia huu ujinga ambao mnaita UISLAM na UKRISTO yaani dini mlikuwa mnatandikwanviboko hata sasa huko madrasa na shule za jumapili mnatandikwa viboko ili kukaririshwa ujinga huo vivyo hivyo inabidi kuutoa huo ujinga nitumie nguvu ya jaziba na ukali ili kuweka msisitizo katika UKOMBOZI WA MWAFRIKANashukuru kwa kunielewesha mkuu ila ni kama umenielewesha kwa jazba sana, anyway labda ndio namna unavyoeleweshaga watu pale wanapouliza maswali kwaajiri ya kujifunza.😊😊
Vizuri mkuu kwahiyo huyo BANTU nae una historia yake tukafaidika na sisi!Wewe ni "MTU" kutokana na asili ya WAAFRIKA wote kuwa na vinasaba vya "BANTU" ndani ya Afrika ndiyo maana tuna sauti za "KIBANTU" na siyo sauti za "KIBINADAMU".
Huu ni wakati wa kila MTU wa Afrika kudadisi kila kilicholetwa na UKOLONI na UTUMWA kama madhar yake ikiwemo UISLAM na UKRISTO.
Fungua na ongeza upeo wa kufikiri,plz!!
Ni kupongeze kwa kuwa mtu wa kwanza humu kukubali na kuungana na mimi juu ya hili,Mungu akuongoze upate kuwa HURU na kuondoka na fikra za ukoloni mambo leoNashukuru kwa kunielewesha mkuu ila ni kama umenielewesha kwa jazba sana, anyway labda ndio namna unavyoeleweshaga watu pale wanapouliza maswali kwaajiri ya kujifunza.😊😊
Asante kwa kunitoa ujinga mkuu😅😅😅...Hiyo ni hofu yako hata wakoloni walipokuwa wanawaingizia huu ujinga ambao mnaita UISLAM na UKRISTO yaani dini mlikuwa mnatandikwanviboko hata sasa huko madrasa na shule za jumapili mnatandikwa viboko ili kukaririshwa ujinga huo vivyo hivyo inabidi kuutoa huo ujinga nitumie nguvu ya jaziba na ukali ili kuweka msisitizo katika UKOMBOZI WA MWAFRIKA
Uhuru wa Habari...Sometimes watu wanajiandikia tu