Mwafrika yeyote siyo Bin -Adam

Binadamu wote wana asili moja ...
View attachment 3268701
Hauko sahihi kabisa weka hapo chanzo halisi cha matokeo ya utafiti huo ikiwa ni andiko la taasisi fulani siyo andiko la instagram,nakuuliza kama bin adam alitokana na babu na bibi mmoja na wannadamu wote duniani ni ndugu kwani kuwe na matabaka ya WACHINA,WAAFRIKA na WAZUNGU na bado watofautia ktk DNA kwa misingi ya ASILI zao??

Za kulishwa changanya na zako!!
 
Hizo ni race ndiyo maana tunakuja kwa Adam , katika historia Adam ndiye chanzo cha race zote duniani.
 
Nimekujibu kwa style hiyo kwa maana za haohao waliokulisha ujinga na kukutawala kwani nao kwasasa wapo wanaopigania kuwakomboa WAFIADINI wa Kiafrika,soma hapa
Sasa ukiaacha hizo taka taka za mitandaoni. Hebu nielewesha asili ya huyo MTU.
 
  • Kwenye BIBILIA Kitabu cha MWANZO ukisoma vizuri pale kwenye kisa cha KAINI na ABELI hapo utagundua ADAM NA HAWA sio wakwanza kuwepo duniani.
  • FUVU la binadam lenye miaka mingi zaidi dunian, lilipatikana AFRICA bonde la OLDVAI.
 
Jielimishe kuhusu pigment (kwanini watu wanangozi za ranging tofauti). Na albino nae kaumbwa na udongo mwekundu? Na kwanini unatumia jina la Africa lililoletwa na wazungu?
 
Jielimishe kuhusu pigment (kwanini watu wanangozi za ranging tofauti). Na albino nae kaumbwa na udongo mwekundu? Na kwanini unatumia jina la Africa lililoletwa na wazungu?
Tambua unaposema alubino tayari ni abnormality ambayo inapatikana hata kwa wazungu,waasia na WAAFRIKA.

Pia elewa kuwa hata viumbe wengine kama nyani,simba,nyoka,nk pia kuna albino/zeruzeru.

Swala la kwanini WATU wana rangi tofauti au wanyama wengine wana rangi tofauti sababu kubwa ni MAZINGIRA ya walipoumbiwa viumbe hao kwani mazingira yanatofautiana hasa i.e:joto,baridi,milima,mistu,mabonde,nk.

Alubino ni MTU kama na adamu naye ni MTU wa mchongo wa kibiblia aliyetungwa ili kutumika kumtawala MWAFRIKA kwa kuwaaminisha ujinga huo eti kaumbwa kwa udongo mwekundu na kulingana na mawasilisho ya waebrania siyo MUNGU.

Tafuta maana ya MTU na maana ya Adamu.
 
Sasa rudia kusoma ulichoandika awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…