ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Ni kosa la jinai kujadili kesi ambayo ipo mahakamani na kuitolea maoni na mapendekezo yako kwenye hukumu
Leo Mwaipopo anatumia media kutangazia umma kuwa Lissu afungwe au anyongwe
Majaji nao wanapita mitandaoni wanaweza kumezwa na hii pressure na kutoa hukumu ya kumnyonga Lissu ili akina Mwaipopo wafurahi
Au hukumu inajulikana kuwa ni kumnyonga Lissu, hivo anatumwa Mwaipopo na machawa wengine kuandaa jamii kupokea hiyo hukumu ya kikatili
Polisi na Katambi mkamateni na kumfungulia mashtaka Muhuni Mwaipopo