Mwajiriwa achana na staff wenzio baada ya muda wa kazi

Mwajiriwa achana na staff wenzio baada ya muda wa kazi

Ushauri mmeshapewa kuchukua ni hiari yenu hatutaki kelele za kukombana pesa wala kukopana.

Kazeni "ndogo" zenu maisha yasonge.
 
Leo nataka kuwapa ushauri waajiriwa. Malalamiko ya mishahara kutokutosha yamekuwa mengi, hasa kwa waajiriwa na Mama Samia. Malalamiko yenu ni ya msingi kabisa. Lakini inabidi mjiongeze. Najua hata mkiongezewa mshahara shida ziko pale pale. Simaanishi msiongezewe, la hasha!!
Uko sawa mkuu na ukweli kuna watu wananishukuru kila leo kwa kuwapa aidia flani flani hivi.
 
Same staffmates can be your source of connections.

Depends on the level of exposure your co-workers are.

You can be a source of connection too.

You shouldn't be waiting to be given connections. Give one atleast.
 
Hii ni kweli kabisa...ila watumishi Wana njaa jamani khaaaa[emoji848]

Wakina nani hawana njaa Twin?

Hii kauli huwa siielewi, wafanyabiashara ndiyo hawana njaa au kina nani?

Hebu nieleweshe Twin
 
Sahihi kabisa Mkuu,
Unakuta staff wengine eti wana group la WhatsApp!

Ukitoka kazini,nenda kwenye Dunia yako nyingine kabisa ili ufungue akili,
Ukiona umri wako unaenda na una marafiki wale wale tu,tambua kua upo kwenye matatizo,

Kadiri umri wako unavyokwenda unatakiwa uwe na marafiki tofauti tofauti wapya,simaanishi kua marafiki zako wa zamani uachane nao.
 
Same staffmates can be your source of connections.

Depends on the level of exposure your co-workers are.

You can be a source of connection too.

You shouldn't be waiting to be given connections. Give one atleast.
You are right bro. If your staff mate is a source of connection let you have him after job hours
 
Ushauri mzuri mkuu, nilikutana na kijana mmoja majuzi hapa, yeye ni mfanyabiashara, alinipa ushauri mzuri sana kuhusu uwekezaji kwa mtaji mdogo tu.
Hebu funguka mkuu
 
Huu Uzi umeandika na fala mmoja mwenye akili mingi Sana...ha ha hongera
 
Huwasiruhusu kujadili maswala ya kazi baada ya kazi ama weekends(labda ziwe side hustle zingine tofauti na za mkataba wangu).

Ukizoea kuishi kwa stail ya mazoea ya kazi ina ku brain wash sometime unaridhika na kujiona ushayapatia maisha kumbe la hasha ni cycle yako tu uliyonayo ndo inakuzubaisha, mwisho wa siku mambo ya ajira yakigeuka ndo mwanzo wa kuchanganyikiwa na kupata fedheha manake uliingia mzima mzima maisha yako yote yakategemea hapo.
 
Huu uzi/topic, usipoielewa hii andaa majungu na lawama za kutosha ama kwa serikali au mwajiri.
 
Back
Top Bottom