Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

Nashangaa Dodoma bado haikui kwa miaka 6 ambayo Serikali imehamia, ila Dsm ukifika kkoo panavunjwa hatari
Unakah ddm ipi kijana unakah ka hombolo nni au chamwino ikulu ndogo

Ddm ndio jiji linakuwa kwa la kas HV SAS mbele ya dsm HV sas

Lbda ukuwaji wa mjin wee unautasamaje kijana himarss

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ununio, bunju, mbweni, kijichi hizo ni prime area, kwa dom thamani ya ardhi bado iko chini yaani bei ya kiwanja tukuyu pale mjini kupata kiwanja ni gharama kubwa kuliko maeneo mengi Dodoma na hivi alivokufa magufuli kasi ya bei za viwanja ilipungua, sawa na bei ya viwanja mtwara ya gesi pale mjini ilikua haishikiki ilishinda hadi maeneo mengi Dar, sawa na mtu anasema kilimanjaro hakuna viwanja wakati ukisogea Hai pale boma kwa mbele kule hadi milioni 4 plot unapata vizuri kabisa, kwahiyo thamani ya sehemu ni aina ya watu wanaoishi na shughuli zao
Mzee katu usifananishe ddm na tukuyu mzee daah nakuheshimu San ila Bei ya mashmba ya tukuyu siyo sawa kbsa na Bei ya ddm mm Niko ddm naifahamu Bei ya viwanja vyake vyote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Madogo wanakwambia haiwezekani laki mtu atoe kwenye show ya rhumba,
Watu walikua na hela.
Koffi Olomide kalipwa usd 40000 na bendi nzima toka Paris Ndege ikakodiwa iwalete na kuja kupiga Silent Inn pale.
Hapo bado huduma zingine.
Na ndio ilikua mara ya kwanza kuja bongo.
 
Imepita miaka 35,
Nimekumbuka kitu kimoja
mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini
,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko,

Ule ukumbi ukienda leo hakuna hata mabaki ya tofali hata moja ulikuwa ukumbi wa kisasa kwa miaka ile,kumbuka ulikuwa utawalawa Mzee Ruksa,

Chakachaka akiwika na nyimbo zake kama Sangoma,Umkhomboti,Thank you Mr Dj,am in love with DJ,alikuwa wa moto kwelikweli ila huyu tycoon wa enzi hizo bwana Alex akafanikiwa kumleta nchini,kiingilio kilikuwa shilingi laki moja,lakini ukumbi ulifurika aswaa japo uko nje ya mji,ni miaka 35 imepita ila laki moja !!!
Dr. Alex Khalidi (RIP) alikuwa Mbunge wa Mitema Newala (siyo Mtama), ndiye alikuwa mmiliki wa Makondeko hapo Luguruni Dsm. Kimsingi yeye ndiye alimleta Yvonne Chakachaka hapa Tanzania mwaka 1988 lakini mwanamuziki huyo hakufanya show Makondeko bali alifanya show 3, ya kwanza alifanya Kilimanjaro Kempinski ambako kiingilio kilikuwa Tshs. 100,000/=, show nyingine alizifanyia Diamond Jubilee na TPA sabasaba ambako viingilio vyake havikuzidi 20,000/= Nakumbuka kwenye ziara yake hiyo, Yvonne Chakachaka aliambatana na mumewe na mtoto wao mdogo. Naomba kuwasilisha.
 
Dodoma haina asili ya wapambanaji kiuchumi wagogo bado wavivu sana , uwepo wa vyuo, bunge vikao vya viongozi kila leo, achilia mbali kwa sasa serikali imehamia jumla ingekua ni wapambanaji dom ingesahaulika miaka 10 tu, halafu Dar kamwe tusiifananishe na mkoa wowote Tanzania, dar ni lango kuu la kutokea na kuingia Tanzania bado Dar itabaki kua Dar, sehemu ambayo bado itakua muhimu kwa uchumi wa nchi yetu, acha ligi za Arusha na mwanza, njombe na kahama, ziendelee lakini bado Dar ni dude kubwa sana
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nawaheshimu malegen ila hyo kiingilio Cha laki siyo Kweli kbsa labda buku 1000 enzi hzo ndio equal to laki mnk mwaka 1990 ada yangu mm Ni 430 na mzee wangu Ni mhandisi wa manispal lkn Hali ilukuwa tete Bado narud omu kwa kukoza ada Sasa hyo laki Ni watz wangapi wangepata

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kipindi hicho noti kubwa ilikuwa ya bei gani? Nauliza coz nilikuwa sijazaliwa bado.
 
Dr. Alex Khalidi (RIP) alikuwa Mbunge wa Mitema Newala (siyo Mtama), ndiye alikuwa mmiliki wa Makondeko hapo Luguruni Dsm. Kimsingi yeye ndiye alimleta Yvonne Chakachaka hapa Tanzania mwaka 1988 lakini mwanamuziki huyo hakufanya show Makondeko bali alifanya show 3, ya kwanza alifanya Kilimanjaro Kempinski ambako kiingilio kilikuwa Tshs. 100,000/=, show nyingine alizifanyia Diamond Jubilee na TPA sabasaba ambako viingilio vyake havikuzidi 20,000/= Nakumbuka kwenye ziara yake hiyo, Yvonne Chakachaka aliambatana na mumewe na mtoto wao mdogo. Naomba kuwasilisha.
Siwezi kukubishia mkuu maana ni muda mrefu na nilikuwa mdogo,hoja kuu ilikuwa kiingilio,nimejiuliza ina maana sarafu yetu imeimarika sana,laki moja bado inaonekana ni nyingi kwa kiingilio cha kumuona msanii ila kipindi kile wazee wetu walilipa
 
Kuna mwalimu x alikua ananicharaza viboko si vya nchi hii.
Siku hiyo tunagraduate la saba bwana eeh tushashiba pilau na soda mwalimu kaningangania nimsindikize hapo inapigwa "inde monii"
Sijui tuliishia wapi uchochoroni huko nafkiri nilligalagaza kwelkweli jimama la kichaga hivi😁
Nikikumbuka vibo
oko tena😆
Hapo nimekaacha kadem kangu flat screen kwenye ukumbi😁
Hizi zambi mungu atusamehe tu
 
Imepita miaka 35,
Nimekumbuka kitu kimoja
mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini
,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko,

Ule ukumbi ukienda leo hakuna hata mabaki ya tofali hata moja ulikuwa ukumbi wa kisasa kwa miaka ile,kumbuka ulikuwa utawalawa Mzee Ruksa,

Chakachaka akiwika na nyimbo zake kama Sangoma,Umkhomboti,Thank you Mr Dj,am in love with DJ,alikuwa wa moto kwelikweli ila huyu tycoon wa enzi hizo bwana Alex akafanikiwa kumleta nchini,kiingilio kilikuwa shilingi laki moja,lakini ukumbi ulifurika aswaa japo uko nje ya mji,ni miaka 35 imepita ila laki moja !!!
Kulikuwa na mabasi speciabpale Mnazi Mmoja to Makondeko. Na Kanda alikuja akapiga kwa 100k Kilimanjaro Hotel.
 
W
Watu waliweza kutoa laki kwa kipindi hicho mzee!, na ukumbi ulijaaa na kufurika kabisa .sio;kwa kuambiwa , bali kushuhudia maana niliishi karibu sana na ukumbi huo miaka hiyo!
Hayo mambo ya sijui ulikuwa ni mshahara wa muhandisi achana nayo , mbona hata sasa hivi yapo ,
atu mbona wanalipa milioni kwa shoo moja tu ya kulala sehemu.Msahara na mipango ya starehe vinaingiliana vipi.
 
Back
Top Bottom