Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Laki 1 1988 Buza unapata viwanja 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ukienda hapo ununio, bunju viwanja bei yake haishikiki.Dodoma haina asili ya wapambanaji kiuchumi wagogo bado wavivu sana , uwepo wa vyuo, bunge vikao vya viongozi kila leo, achilia mbali kwa sasa serikali imehamia jumla ingekua ni wapambanaji dom ingesahaulika miaka 10 tu, halafu Dar kamwe tusiifananishe na mkoa wowote Tanzania, dar ni lango kuu la kutokea na kuingia Tanzania bado Dar itabaki kua Dar, sehemu ambayo bado itakua muhimu kwa uchumi wa nchi yetu, acha ligi za Arusha na mwanza, njombe na kahama, ziendelee lakini bado Dar ni dude kubwa sana
Mkuu tukipata viongozi imara Kenya atapata taabu sana
K/Nyama, Sinza na Manzese yalikuwa mashamba ya mipunga. Wakulima walikuwa wanatokea Ilala 😄Kijitonyama na sinza ni swamp area ,watu wamelima sana mipunga maeneo hayo miaka hiyo
Maana ukienda hapo ununio, bunju viwanja bei yake haishikiki.
Ila Dodoma bei bado ya kawaida
SawaMakondeko limekufa jumla baada ya upanuzi wa barabara.
Mule watu waliforce kujengaKijitonyama na sinza ni swamp area ,watu wamelima sana mipunga maeneo hayo miaka hiyo
Mule watu waliforce kujenga
Miaka hiyo kulikuwa na River Sinza, Lake Mwananyamala, Lake Tandale na Lake Magomeni
Maji hayasahau mkondo na njia zake ndio maana mvua zikinyesha hilo huwa linadhihirika maeneo hayo
Kipindi hicho hakuna mtu ungemwambia ajaishi Buza akakuelewa,Tabata yenyewe wajinga wameistukia mwanzoni mwa 2000
Mfano mzuri sana wa Tembo. Maji huwa yana tabia hiyoMaji na tembo hua hawasahu njia, lakini ajabu ya maji anapojenga binadamu yanakimbia kwanza na hurudi kwa msimu,
Dah hii ndio nasikia leo kumbeMule watu waliforce kujenga
Miaka hiyo kulikuwa na River Sinza, Lake Mwananyamala, Lake Tandale na Lake Magomeni
Maji hayasahau mkondo na njia zake ndio maana mvua zikinyesha hilo huwa linadhihirika maeneo hayo
Mfano mzuri sana wa Tembo. Maji huwa yana tabia hiyo
Ndio hivyo mkuuDah hii ndio nasikia leo kumbe
Duuuh kumbe huwa wanapita pale UDOM kweli hawasau njia yao.Hadi leo tembo hua wanapita pale dodoma Udom wanakuta kuna miji wanazua taharuki halafu wanarudishwa ndio sawa na maji ukizuia njia zake kuna siku utasikia tu vilio vya mafuriko
Hatayaisha hata siku moja wataishi nayoHapo mafuriko hayataisha milele