Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

Kuna Kanda Bongo Man alipiga hapo makumbusho kwa Mzee Lyimo Club ilikua moto sana.
Kiingilio ilikua 100000 hiyo hiyo na tkt ziliisha miaka hiyohiyo.

Madogo wanakwambia haiwezekani laki mtu atoe kwenye show ya rhumba,
 
Nashangaa Dodoma bado haikui kwa miaka 6 ambayo Serikali imehamia, ila Dsm ukifika kkoo panavunjwa hatari
Unakah ddm ipi kijana unakah ka hombolo nni au chamwino ikulu ndogo

Ddm ndio jiji linakuwa kwa la kas HV SAS mbele ya dsm HV sas


Lbda ukuwaji wa mjin wee unautasamaje kijana himarss


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mzee katu usifananishe ddm na tukuyu mzee daah nakuheshimu San ila Bei ya mashmba ya tukuyu siyo sawa kbsa na Bei ya ddm mm Niko ddm naifahamu Bei ya viwanja vyake vyote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Madogo wanakwambia haiwezekani laki mtu atoe kwenye show ya rhumba,
Watu walikua na hela.
Koffi Olomide kalipwa usd 40000 na bendi nzima toka Paris Ndege ikakodiwa iwalete na kuja kupiga Silent Inn pale.
Hapo bado huduma zingine.
Na ndio ilikua mara ya kwanza kuja bongo.
 
Dr. Alex Khalidi (RIP) alikuwa Mbunge wa Mitema Newala (siyo Mtama), ndiye alikuwa mmiliki wa Makondeko hapo Luguruni Dsm. Kimsingi yeye ndiye alimleta Yvonne Chakachaka hapa Tanzania mwaka 1988 lakini mwanamuziki huyo hakufanya show Makondeko bali alifanya show 3, ya kwanza alifanya Kilimanjaro Kempinski ambako kiingilio kilikuwa Tshs. 100,000/=, show nyingine alizifanyia Diamond Jubilee na TPA sabasaba ambako viingilio vyake havikuzidi 20,000/= Nakumbuka kwenye ziara yake hiyo, Yvonne Chakachaka aliambatana na mumewe na mtoto wao mdogo. Naomba kuwasilisha.
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kipindi hicho noti kubwa ilikuwa ya bei gani? Nauliza coz nilikuwa sijazaliwa bado.
 
Siwezi kukubishia mkuu maana ni muda mrefu na nilikuwa mdogo,hoja kuu ilikuwa kiingilio,nimejiuliza ina maana sarafu yetu imeimarika sana,laki moja bado inaonekana ni nyingi kwa kiingilio cha kumuona msanii ila kipindi kile wazee wetu walilipa
 
Kuna mwalimu x alikua ananicharaza viboko si vya nchi hii.
Siku hiyo tunagraduate la saba bwana eeh tushashiba pilau na soda mwalimu kaningangania nimsindikize hapo inapigwa "inde monii"
Sijui tuliishia wapi uchochoroni huko nafkiri nilligalagaza kwelkweli jimama la kichaga hivi😁
Nikikumbuka vibo
oko tena😆
Hapo nimekaacha kadem kangu flat screen kwenye ukumbi😁
Hizi zambi mungu atusamehe tu
 
Kulikuwa na mabasi speciabpale Mnazi Mmoja to Makondeko. Na Kanda alikuja akapiga kwa 100k Kilimanjaro Hotel.
 
W
atu mbona wanalipa milioni kwa shoo moja tu ya kulala sehemu.Msahara na mipango ya starehe vinaingiliana vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…