Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Eti miaka ya 90 ulikuwa mdogo😂Mkuu tuletee story la La Lrima Club pale Kijitonyama na Silent Inn Mwenge. Nilikuwa mdogo miaka ile ya 90's. Nakumbuka hizo kumbi zilibamba sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti miaka ya 90 ulikuwa mdogo😂Mkuu tuletee story la La Lrima Club pale Kijitonyama na Silent Inn Mwenge. Nilikuwa mdogo miaka ile ya 90's. Nakumbuka hizo kumbi zilibamba sana
Mkuu uko sahih lkn kiingilio laki hpn enz hzo nazaliwa mm mshahara wa muhandisi was manispaa hata laki haijafika Mia 430 ndio ada nalipa mm sas laki enz hzo wangetoa wapi watuImepita miaka 35,
Nimekumbuka kitu kimoja
mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini
,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko,
Ule ukumbi ukienda leo hakuna hata mabaki ya tofali hata moja ulikuwa ukumbi wa kisasa kwa miaka ile,kumbuka ulikuwa utawalawa Mzee Ruksa,
Chakachaka akiwika na nyimbo zake kama Sangoma,Umkhomboti,Thank you Mr Dj,am in love with DJ,alikuwa wa moto kwelikweli ila huyu tycoon wa enzi hizo bwana Alex akafanikiwa kumleta nchini,kiingilio kilikuwa shilingi laki moja,lakini ukumbi ulifurika aswaa japo uko nje ya mji,ni miaka 35 imepita ila laki moja !!!
AiseeeLaPrima Club ilikuwepo pale Victoria ndio Alipiga Kanda bongoman mwaka, 90 kwa kiingilio cha laki wakati huo lami inaishia hapo Victoria barabara ya vumbi inaanzia hapo Victoria mpaka mwenge kuelekea huko tegeta
Mkuu uko sahih lkn kiingilio laki hpn enz hzo nazaliwa mm mshahara wa muhandisi was manispaa hata laki haijafika Mia 430 ndio ada nalipa mm sas laki enz hzo wangetoa wapi watu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kanda Bongoman alitumbuiza Makondeko pia , kwenye tour hiyo hiyo ya mwaka 1990, na ndio kilikuwa kiingilio ghali tangu makondeko ijengwe na haijawahi kutokea tena hadi ukumbi unakufa!LaPrima Club ilikuwepo pale Victoria ndio Alipiga Kanda bongoman mwaka, 90 kwa kiingilio cha laki wakati huo lami inaishia hapo Victoria barabara ya vumbi inaanzia hapo Victoria mpaka mwenge kuelekea huko tegeta
Watu waliweza kutoa laki kwa kipindi hicho mzee!, na ukumbi ulijaaa na kufurika kabisa .sio;kwa kuambiwa , bali kushuhudia maana niliishi karibu sana na ukumbi huo miaka hiyo!Mkuu uko sahih lkn kiingilio laki hpn enz hzo nazaliwa mm mshahara wa muhandisi was manispaa hata laki haijafika Mia 430 ndio ada nalipa mm sas laki enz hzo wangetoa wapi watu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Omba samahsni mkuuWengi humu walikuwa viunoni mwa baba zao[emoji23][emoji23] na vinavyojua kujikunja kutukana wakubwa..fambaf sao
acha kuwa na mitazamo ya kimaskini, hata kanda bongoman aliwahi kutoza kiingilio kama hicho kwenye show yake moja ya dar mwanzoni mwa 90s kama sikosei na watu walijaa.Laki moja mwaka 1988?
hao waliofurika wameacha urithi gani kwa wajukuu zao mpaka sasa?
maana laki 1 ya '88 kwa sasa ni kama milioni 1. Bei ya viwanja kumi jijini Dar kwa enzi hizo
Mimi huwa nampigia salute mzee,tumezaliwa saba ila kama ni bata enzi hizo tumekula,tulilala pazuri,shule tumekwenda na mahitaji muhimu yote tulipata,wazee ww zamani salute kwaoacha kuwa na mitazamo ya kimaskini, hata kanda bongoman aliwahi kutoza kiingilio kama hicho kwenye show yake moja ya dar mwanzoni mwa 90s kama sikosei na watu walijaa.
marehemu mshua wangu na bmkubwa wangu walihudhuria hiyo show na mpaka leo picha zipo kwenye album ya familia.
speaking about urithi, mshua na bmkubwa hawakuwa matajiri, they belonged to the ordinary class of public servant but they loved going out to have fun.
pamoja na kuspend pesa yao kidogo kujipa furaha enzi za ujana wao, walijitahidi kuhakikisha watoto wao tunapata mahitaji yote muhimu hususani makazi bora na elimu kuanzia ngazi ya primary mpaka chuo kikuu.
kiufupi ukija kwetu, mimi na ndugu zangu(siblings), tupo vizuri kielimu, hatuna kilaza.
Pesa ikuwepo mkuu,nimeandika uzi huu makusudi ili tuweze kutafakari,miaka zaidi ya 30 lakini kiingilio cha laki moja ilikuwa kawaida tu na ukumbi ulijaa pomoni,hii sio story wala sio chai nilikuwana akili zangu timamu by thenMkuu uko sahih lkn kiingilio laki hpn enz hzo nazaliwa mm mshahara wa muhandisi was manispaa hata laki haijafika Mia 430 ndio ada nalipa mm sas laki enz hzo wangetoa wapi watu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Namichepuko walikuwa nao.Mimi huwa nampigia salute mzee,tumezaliwa saba ila kama ni bata enzi hizo tumekula,tulilala pazuri,shule tumekwenda na mahitaji muhimu yote tulipata,wazee ww zamani salute kwao
binafsi nimerithi baadhi ya itikadi za marehemu mshua linapofika suala la kujipa furaha.Mimi huwa nampigia salute mzee,tumezaliwa saba ila kama ni bata enzi hizo tumekula,tulilala pazuri,shule tumekwenda na mahitaji muhimu yote tulipata,wazee ww zamani salute kwao
Mzee aseme ukweli asichanganye na show ya Michael Jackson mwak 90 ++ ilikuwa Bei kubwaHaya sasa kumekucha
Nawaheshimu malegen ila hyo kiingilio Cha laki siyo Kweli kbsa labda buku 1000 enzi hzo ndio equal to laki mnk mwaka 1990 ada yangu mm Ni 430 na mzee wangu Ni mhandisi wa manispal lkn Hali ilukuwa tete Bado narud omu kwa kukoza ada Sasa hyo laki Ni watz wangapi wangepataWatu waliweza kutoa laki kwa kipindi hicho mzee!, na ukumbi ulijaaa na kufurika kabisa .sio;kwa kuambiwa , bali kushuhudia maana niliishi karibu sana na ukumbi huo miaka hiyo!
Hayo mambo ya sijui ulikuwa ni mshahara wa muhandisi achana nayo , mbona hata sasa hivi yapo ,