Unaendeleza utamaduni wa mzee wako kutoka na familia yake na hivyo kuacha kumbukumbu nzuri kama ulizo nazo wewe sasahivi?Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 pale Drive inn zilipo ofisi za Zantel,Msasani.
Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson
Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale mazombie sikukala usiku.
Drive in ndio ukumbi pekee ambao ungeweza kuangalia filamu ukiwandani ya gari,mimi niliogopanikaenda kujifungia kwenye gari.
Sasa hivi woga umenitoka ukijichanganya ninaweza kukuchinja koo
Haina shida, tuta agia kanisani.Am single dad sina mke,sina mbele wala nyuma nikijitahidi ni kuwanunulia soda,
Mzee Mdukuzi huwa napenda nyuzi zako. Huwa ni burudani 😄😄Am single dad sina mke,sina mbele wala nyuma nikijitahidi ni kuwanunulia soda,
Maskhara haya mkuu. Stori zako inaonekana viunga vya majengo ya serikali yasiyo ingilika isipokuwa kwa protokali maalumu.. Wewe umesha vuruga sana viunga hivyo.Am single dad sina mke,sina mbele wala nyuma nikijitahidi ni kuwanunulia soda,
Father shikamo1988 nilikuwa mtu mzima
Wimbo ulitoka 1982 nakumbuka sana miaka hiyo nikiwa nimeishatoka kujitafutia maisha nje
Bora umemuenzi Mshua
Marahaba mwananguFather shikamo
Amina nakuombea Baba yanguMarahaba mwanangu
Najua katika wazee na mimi nimo humu
Niombee afya njema
Uko sahihi mkuu,,mshua alijitahidi sana kwenye swala ka familia,hongera mkuu kwa kusafiri kitambo,niaka hiyo nabaharia wakijazana pale Salamander vijana walisafiri sana kwa kuzamia meli1988 nilikuwa mtu mzima
Wimbo ulitoka 1982 nakumbuka sana miaka hiyo nikiwa nimeishatoka kujitafutia maisha nje
Bora umemuenzi Mshua