Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
😀😃😃😃Dah ila ulicheza vizuri mno yaani 😃 😀Yule jamaa aliyekuwa amevaa suti hana mkono mmoja ndo mimi, ila waliniboa sana mana mm nilikuwa nimekufa zangu kwa amani wakanilazimisha kufufuka hvy hvy ili tushoot hy video.