Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

Yule jamaa aliyekuwa amevaa suti hana mkono mmoja ndo mimi, ila waliniboa sana mana mm nilikuwa nimekufa zangu kwa amani wakanilazimisha kufufuka hvy hvy ili tushoot hy video.
😀😃😃😃Dah ila ulicheza vizuri mno yaani 😃 😀
 
Maskhara haya mkuu. Stori zako inaonekana viunga vya majengo ya serikali yasiyo ingilika isipokuwa kwa protokali maalumu.. Wewe umesha vuruga sana viunga hivyo.
Maisha yanabadilika mkuu,niliingia kwa mgongo wa wazee,baada ya kustaafu,mtu pekee ninayemmudu ni January Makamba ambaye kwa sasa sio waziri tena
 
Uko sahihi mkuu,,mshua alijitahidi sana kwenye swala ka familia,hongera mkuu kwa kusafiri kitambo,niaka hiyo nabaharia wakijazana pale Salamander vijana walisafiri sana kwa kuzamia meli
Kuna wazazi na wazazi kwa kweli, afadhali alikuwa anawafurahisha wanae
Mimi mzee aliniondoa huko miaka ya 70 nikiwa nimemaliza tu shule

Pia nawashukuru kila leo wazazi wangu kwa kufikia uamuzi huo
Kweli mkuu vijana wengi tuliondoka miaka hiyo ila mimi sikujificha kwenye meli bali niliondoka kwa visa
Kuna ndugu yangu alizamia kwa meli na mpaka leo yuko nchi tofauti na mimi
Tuombeane tu sana
 
Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 pale Drive inn zilipo ofisi za Zantel,Msasani.

Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson

Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale mazombie sikukala usiku.

Drive in ndio ukumbi pekee ambao ungeweza kuangalia filamu ukiwandani ya gari,mimi niliogopanikaenda kujifungia kwenye gari.
Sasa hivi woga umenitoka ukijichanganya ninaweza kukuchinja koo
Kuna watoto saivi ndio ndio wanaenda kuuangalia. Binafsi mimi kwa mara ya kwanza video yake nimeiona mwaka 1999 Dodoma Nam Hotel maeneo ya Area C na nilikua chini ya miaka 10 ila kwa kipindi hicho yale ma movie ya kinaijeria yalikua yameshanikomaza.
 
Miaka hiyo kulikuwa na movie hizi pia
Rain Man
Coming to America
Bloodsport ya dame
Comming to America haichoshi,nje ya mada,cast wote wa comming to america ni wawili tu waliokwishafariki so far,sasa tafuta wimbo wa bendi yoyote ya Tanzania kwa miaka hiyo,wakio hai hawazidi wawili au watatu,tunakufa tukiwa wadogo sana ndugu zanguni
 
Comming to America haichoshi,nje ya mada,cast wote wa comming to america ni wawili tu waliokwishafariki so far,sasa tafuta wimbo wa bendi yoyote ya Tanzania kwa miaka hiyo,wakio hai hawazidi wawili au watatu,tunakufa tukiwa wadogo sana ndugu zanguni
Naunga mkono hoja mkuu
 
Back
Top Bottom