Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Tukio la kweli.
Miaka ya 1990/89 Kuna mwanachuo alipatwa na celebral malaria ilipanda kichwani.
Akaenda kulazwa kwenye zahanati ya chuo. Mbaya ZAIDI nesi wa zamu hakumpa sana kipaumbele basi yule mwanachuo akatoka akaenda kujirusha kwenye Mojawapo ya matanki makubwa ya kuhifadhia MAJI yanayopatikana chuoni hapo.
Yule mwanachuo akafariki na akazama akaoza kabisa alitafutwa maeneo yote chuo kizima hakupatikana basi ikawa ndio ntolee.
Huku kwenye kota watu wakawa wanaona nywele na ngozi ngozi iliyooza kwenye MAJI ya majumbani kwao.
SIKU Moja baada ya miezi kadhaa lile taki Waka li empty ili kutoa tope na kufanya usafi ndipo wakakuta mifupa ya mwanadamu.
Ndio alikuwa yule mwanachuo aliyejitupa kwenye MAJI akatafutwa na asipatikane.
Nawatakia heri ya mwaka mpya huko nyumbani Tanzania.
Superbug
Glasgow.
Scotland.