Mwaka 1991 jumuia ya Kigurunyembe ilivyokunywa maji yenye uzo wa mtu aliyekufa

Yule mwanachuo akafariki na akazama akaoza kabisa alitafutwa maeneo yote chuo kizima hakupatikana basi ikawa ndio ntolee.
Binadamu akizama kwenye maji mara nyingi huanza kuelea baada ya masaa kadhaa, ilikuwaje huyu hakuelea? Hakuna utafiti uliofanywa
 
Wangeyapiga uzio kupunguza risk
 
Story ya uongo hii
Mtu akitumbukia mjini akafa Kuna muda huwa anakuja juu yaani anaelea.
Waliingiza shuka ambalo walishika huku na kule wakamtoa.

Kwanza tank lipi Kati ya yale matatu
 
Kuna ukakasi hapa,kunguru TU akifia kwenye tank maji hunuka... .na kubadirika Radha,!
Iweje walivumilia harufu ya wanadamu??Hilo tank lilikuwa juu au. Chini??je mgonjwa hakuwa na MTU wake wakaribu hata mwanachuo mwenzake???maswali ni mengi kuliko majibu mjomba😂
 
Mku

Mkuu unaijua celebral malaria lakini ikikushika vizuri?
Miaka ya nyuma enzi za Mkapa kurudi nyuma malaria ilisumbua sana; watu walikufa sana. Mojawapo ya legacy ya Kikwete ni kupamba na malaria. Vijana wa jana hawajui haya mambo sijui celebral sijui what!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…