Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Daaah, nchi imetoka mbali sana hii mkuu...Nakumbuka sumbawanga mjini,mwaka 2001 kurudi nyuma,ikifika disemba kabla ya christmas majina ya waliopangiwa kwenda kidato cha kwanza,manispaa nzima yanabandikwa kwenye ubao wa matangazo wa soko kuu.
Na sisi wa 2004; tumeona tusijiweke mbali,Mkuu hii ishu iliishia 2004 kurudi nyuma
Kuanzia 2005 alipoingia kikwete Ni mwendo wa shule za kata hata Kama ulikuwa unapasua
Nakumbuka nilipomaliza darasa la Saba shule yetu tulikuwa 232
Ila tuliochaguliwa(kufaulu) tulikuwa 14 tu wavulana Tisa na wasichana 5
Aisee tulikuwa tunaonekana watabe sana na alwatan sana kitaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, mimi sijivunii uzamani wa watu kukosa fursa za kusoma kwa maana hata ndugu zangu wa karibu sana waliathirika na hili. Mimi ninicholenga katika mada hii ni kukumbushana wapi Tanzania yetu hii imetoka miaka hiyo ya 1990s.Unakuta wilaya nzima kuna shule moja ya sekondari halafu shule za msingi zaidi ya120.Ilikuwa jambo la kawaida kukuta shule yote haijatoa hata mwanafunzi mmoja wa kujiunga kidato cha kwanza.
Kwa kweli aliyeleta shule za kata alifanya jambo la maana sana pamoja na changamoto zake. Kujivunia ule uzamani ambao uliwanyima wenzetu nafasi za kusoma na sababu kubwa ikiwa ni ukosefu wa shule za sekondari unakuwa sio uzalendo
Lugalo IringaNilianzia kuruka kichura kwenye hiyo round about hadi bwenini, ni mwendo wa viwanja viwili vya mpira wa miguu,begi na jembe nimejitwisha kichwani.
Nilivyo fika getini akanisamehe, akanirudisha tena nilipoanzia kuruka kichura kwa lengo la kujitambulisha.
Kweli maisha ni hatua... View attachment 1661688
Na wewe umesoma Lugalo umemaliza mwaka ganiLugalo Secondary , mwaka gani hiyo boss?
Hapana iliisha 2007Mkuu hii ishu iliishia 2004 kurudi nyuma
Kuanzia 2005 alipoingia kikwete Ni mwendo wa shule za kata hata Kama ulikuwa unapasua
Nakumbuka nilipomaliza darasa la Saba shule yetu tulikuwa 232
Ila tuliochaguliwa(kufaulu) tulikuwa 14 tu wavulana Tisa na wasichana 5
Aisee tulikuwa tunaonekana watabe sana na alwatan sana kitaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duu1990 mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] king cross unapajuaMkuu advanced level si ni juzi tu hapa, nilishangaa mtoto wangu alivyo pangiwa hapo. Huo mwaka nilikuwa njuka
Nishakuelewa mkuu, ila nilikuwa nasisitiza tu kuwa zile zama sio za kujivunia, ni maoni yangu tu kwa ujumlaMkuu, mimi sijivunii uzamani wa watu kukosa fursa za kusoma kwa maana hata ndugu zangu wa karibu sana waliathirika na hili. Mimi ninicholenga katika mada hii ni kukumbushana wapi Tanzania yetu hii imetoka miaka hiyo ya 1990s.
This is JF [emoji23][emoji23]Aisee, kwenye huu uzi kila mtu anasema alifaulu.
Jf raha sana, uianzisha mada ya magari basi kila mtu atasema analo.
Vipi 2nd selection?...Nakumbuka nilikuwa nasumbua kata nzima na kwa tarafa nakuwa wa pili au wa tatu kwenye ile mitihan tulikuwa tunafanya pamoja(nishasahau inaitwaje)
Kimbembe necta 1st selection sikuchaguliwa
Nakumbuka mwalimu wangu wa hesabu day one darasani alituonyesha kitabu cha maths huku anatamba akisema kitabu hiki kimetungwa kwa ajiri ya walio faulo tu(hapo tupo private) daa ukweli uliokuwa mchungu.enzi zetu ukienda private wewe ni failure. shule private zilikuwa kwa ajili ya waliofail.