Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

Mwaka gani hiyo mkuu?me 2003 ndiyo nimeanza form 1 hapo arusha secondary school nikitokea Naura primary school.Enzi hizo Arusha kuna shule tano tu za secondary ambazo ni Arusha sec,Arusha day,Kaloleni,Sinoni na Ilboru(hii ilikuwa ya vipaji maalumu)
Hizi shule zilizoongezekaga zimesaididia sana.enzi zetu ilikuwaga arusha sec tu.
Irliboru ilikuwaga ya wenye vipaji zaidi.
 
Kweli kabisa. Sisi kijiji kizima kilikuwa kinafahamu
 
Sasa hivi C mbili na D moja unaingia advance
Tena unaweza kuta C za civics na nutrition, D ya Bible/Islamic knowledge

Chuo E mbili

Akitoka hapo hataki kazi za bodaboda, eti anataka kazi za hadhi yake, hivi wana hadhi gani hawa mbwa!!!!

kupata vi A na B flats ushaita binadamu wenzako mbwa, ungepata hata nusu ya utajiri wa bakhresa ambaye hata principle za business pengine hata hazijui. Si ndo ungejiona hustahili kutumia oxygen ya bure kama maskini wa tandale
 
kupata vi A na B flats ushaita binadamu wenzako mbwa, ungepata hata nusu ya utajiri wa bakhresa ambaye hata principle za business pengine hata hazijui. Si ndo ungejiona hustahili kutumia oxygen ya bure kama maskini wa tandale
Jamaa anapaswa kuomba radhi
 
Duuh
Ngoja na mie nitie langu;

Miaka ya 80's mwishoni...
Nilisoma shule kwa ndugu mkoa ulio mbali na nyumbani. Baada ya mitihani ya darasa la saba nikarudi nyumbani!

Ilipofika January mwanzoni Baba aliletewa simu ya maandishi(ama simu ya barua) sikumbuku vizuri. Simu yenyewe ililetwa na jirani aliekuwa anamiliki sanduku la Posta!

Iliandikwa hivi;-
(........) AMEFAULU KWENDA SEKONDARI SHULE YA ....AJE MAPEMA KUWAHI MASOMO.
(.........)

Baada ya hapo nakumbuka sikulala kabisa hadi siku ya safari.
Darasani tulikuwa 97 tukawa tumefaulu wanne tu...!!
 
Safi Sana, naona ulikuwa njema sana Boss, hongera zako
 
S Safi Sana kaka, Hongera zako
 
acha kabisa.nakumbuka tokeo limetoka sister kafaulu kachaguliwa jangawan mim nimefeli.na ukicheki hapo kirecords nilikua nakimbiza darasa zima sema ndio hivo.yan unastresika.home wote wanakuona huna akili.
Pole sana. Akili ulikuwa nazo sema shule sasa ndio chache. Inaonekana dada alikuwa maarufu sana hapo mtaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…