Mwaka 2015, ni Mwaka ambao utakumbukwa sana kwenye Siasa za Tanzania.

Mwaka 2015, ni Mwaka ambao utakumbukwa sana kwenye Siasa za Tanzania.

GenuineMan

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
7,885
Reaction score
18,636
Kuanzia 2015 kuja hadi sasa, ni tofauti sana na hapo kabla.

Ni kama vile wakubwa waliona wakicheka na nyani watavuna mabua,
Kilichofuata ni vibano kila sehemu.
Media, free speech, n.k

Ila kama ilivyo 1995, 2015,
2025 nayo wenda ikakumbukwa sana kwenye historia ya Siasa za Tanzania.
 
Back
Top Bottom