Mwaka 2015 Rais Magufuli angepewa uwaziri Mkuu , tungepiga hatua kubwa sana na inawezekana he could be still Alive

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Kushindwa kumuelewa MTU na kukosa maono .

Kwa nature ya Magufuli., he was not a good politicians .

Kwahiyo mambo ya ndio na hapana even criticism ,those things need high level of emotional intelligence. Unfortunately JPM never had those attributes.

Kama tungekuwa na jicho zuri JPM could be appoitend as a Prime minister of JMT .

Kwakuwa Magufuli , alikuwa ni result oriented.

Na kwa kufanya hivi , maybe he could be still Alive .
 
Nilikuwa na mindset kama yako ya kuona Magufuli kama mtendaji anafaa tu kuwa waziri mkuu ila kwa sasa ninaona kama, alikuwa the perfect person kuingia katika hiyo angle ukitoa baadhi ya madhaifu aliyokuwa nayo.

Ukiniuliza kwa sasa kama Magufuli alistahili kumaliza miaka kumi, definetly YES

Je, angestahili kuongezewa vipindi vya uongozi baada ya miaka kumi ili afanye vizuri zaidi.. HAPANA kwa sababu Magufuli pia alikuwa anatengeneza mfumo wa kuongozwa na strong people na si strong systems ndio maana alipofariki yeye, mfumo umekufa kabla haujakita mizizi..
 
Fact
 
Kwangu hakustahili kuwa rais kwenye nchi ya kidemokrasia, bali alipaswa kuingia kwa njia ya mapinduzi kama alitaka kutawala atakavyo. Kama ni kweli alipumzishwa ilikuwa sahihi, kwani alikuwa anaenda kuharibu mifumo ya utawala wa kidemokrasia. Isitoshe yeye ndio muasisi wa hawa machawa, japo sio kwa umuhimu.
 
Ni kweli mfumo wake uliishia njiani kutengenezwa, kitu kinachowafanya watu wasijue sura yake halisi ya kiuongozi aliyotaka kuitengeneza regardless dalili zilionekanaje.

ubaya zaidi, mfumo wake umewekwa kando lakini mfumo wa zamani umerudi lakini umechukua na chembechembe za mfumo wake. Kwa hiyo kumeblend mfumo miwili ambayo sijui imekuwa hasara ama faida

Ndio maana kuna wanaomlaumu anko kwa yanayoendelea, wengine wwanapambania legacy na wengine wameswitch upande, wengine ndio hai wameshika mfumo,

Lakini groups zote zinajitanabaisha kama zinapambania interests za nchi, je ni kweli ama la. Mimi sijui
 
Nilikuwa na mindset kama yako ya kuona Magufuli kama mtendaji anafaa tu kuwa waziri mkuu ila kwa sasa ninaona kama, alikuwa the perfect person kuingia katika hiyo angle ukitoa baadhi ya madhaifu aliyokuwa nayo.

Ukiniuliza kwa sasa kama Magufuli alistahili kumaliza miaka kumi, definetly YES

Je, angestahili kuongezewa vipindi vya uongozi baada ya miaka kumi ili afanye vizuri zaidi.. HAPANA kwa sababu Magufuli pia alikuwa anatengeneza mfumo wa kuongozwa na strong people na si strong systems ndio maana alipofariki yeye, mfumo umekufa kabla haujakita mizizi..
Uko sawa,But ili tupate mfumo imara lazima kwqnza tupate strong character kama JPM ….Then wao ndo walete strong system….
 
Demokrasia changa tuliyokuwa nayo ilikufa wakati wa JPM. Sijui, labda alichukizwa alipogundua viongozi wa upinzani kama akina Mbowe na Zitto walikuwa kwenye payroll ya serikali, akaona hayo maigizo ya demokrasia ni kupoteza hela tu.
 
Back
Top Bottom