Mwaka 2015 Rais Magufuli angepewa uwaziri Mkuu , tungepiga hatua kubwa sana na inawezekana he could be still Alive

Mwaka 2015 Rais Magufuli angepewa uwaziri Mkuu , tungepiga hatua kubwa sana na inawezekana he could be still Alive

Kushindwa kumuelewa MTU na kukosa maono .

Kwa nature ya Magufuli., he was not a good politicians .

Kwahiyo mambo ya ndio na hapana even criticism ,those things need high level of emotional intelligence. Unfortunately JPM never had those attributes.

Kama tungekuwa na jicho zuri we could appointed JPM as a Prime minister of JMT .

Kwakuwa Magufuli , alikuwa ni result oriented.

Na kwa kufanya hivi , maybe he could be still Alive .
Hypothetical argument.
 
Ni kweli mfumo wake uliishia njiani kutengenezwa, kitu kinachowafanya watu wasijue sura yake halisi ya kiuongozi aliyotaka kuitengeneza regardless dalili zilionekanaje.

ubaya zaidi, mfumo wake umewekwa kando lakini mfumo wa zamani umerudi lakini umechukua na chembechembe za mfumo wake. Kwa hiyo kumeblend mfumo miwili ambayo sijui imekuwa hasara ama faida

Ndio maana kuna wanaomlaumu anko kwa yanayoendelea, wengine wwanapambania legacy na wengine wameswitch upande, wengine ndio hai wameshika mfumo,

Lakini groups zote zinajitanabaisha kama zinapambania interests za nchi, je ni kweli ama la. Mimi sijui
Kimsingi utawala aliotaka kuujenga ni mfumo wa kumsujudia rais, hasa rais mwenyewe akiwa ni yeye. Athari za alichokifanya kwa miaka yake 6, sitegemei kama itaondoka kwa demokrasia, bali kwa machafuko ama mapinduzi ya kijeshi. Ccm haitakaa iweze tena kurudia demokrasia ya wakati wa JK, ama hata kuiweza kwani ni chama cha kizazi kilichopita. Hivyo namna pekee ni kutawala kwa shuruti, na atayetaka kuwatoa ni aidha ahongwe atulie, ama kifo kimkute. Kinachoendelea kwa Lisu na cdm ni ushahidi wa hilo.
 
Nilikuwa na mindset kama yako ya kuona Magufuli kama mtendaji anafaa tu kuwa waziri mkuu ila kwa sasa ninaona kama, alikuwa the perfect person kuingia katika hiyo angle ukitoa baadhi ya madhaifu aliyokuwa nayo.

Ukiniuliza kwa sasa kama Magufuli alistahili kumaliza miaka kumi, definetly YES

Je, angestahili kuongezewa vipindi vya uongozi baada ya miaka kumi ili afanye vizuri zaidi.. HAPANA kwa sababu Magufuli pia alikuwa anatengeneza mfumo wa kuongozwa na strong people na si strong systems ndio maana alipofariki yeye, mfumo umekufa kabla haujakita mizizi..
Magufuli ndiye aliyeonyesha nguvu ya urais. Na baada yake kila mtu natamani urais. Rais wa kwanza kumpa ndugu(Biteko) uwaziri. Mama akaendeleza na kumpa Mchengerwa mkwe Uwaziri na Sasa binti yake kachukua form ya ubunge. Rais wa kwanza kupendelea kwao(Chato) wazi wazi mama kaishaibadilisha Kizimkazi . Rais wa kwanza kupendelea watu wa kanda ya ziwa Mama anawabeba wavaa makobazi. Watu kudai katiba mpya sio wajinga Magu alionyesha nguvu ya rais. Kila mtu anajua Rais anaweza kufanya lolote na asifanywe lolote.
 
Kimsingi utawala aliotaka kuujenga ni mfumo wa kumsujudia rais, hasa rais mwenyewe akiwa ni yeye. Athari za alichokifanya kwa miaka yake 6, sitegemei kama itaondoka kwa demokrasia, bali kwa machafuko ama mapinduzi ya kijeshi. Ccm haitakaa iweze tena kurudia demokrasia ya wakati wa JK, ama hata kuiweza kwani ni chama cha kizazi kilichopita. Hivyo namna pekee ni kutawala kwa shuruti, na atayetaka kuwatoa ni aidha ahongwe atulie, ama kifo kimkute. Kinachoendelea kwa Lisu na cdm ni ushahidi wa hilo.
Hii nchi kukombolewa lazima damu imwajike. Watu wakiamua kuingia barabarani hata watu wataogopa kuwa machawa. Imagine kama machawa wangekuwa wanatekwa na kupotea kama wanaokosoa serikali ? Kwa sababu kila siku shida zinaongezeka ipo siku wafu watafanya maamuzi magumu.
 
Magufuli ndiye aliyeonyesha nguvu ya urais. Na baada yake kila mtu natamani urais. Rais wa kwanza kumpa ndugu(Biteko) uwaziri. Mama akaendelea na kumpa Mchengerwa mke na Sasa binti yake kuchukua form ya ubunge. Rais wa kwanza kupendelea kwao(Chato) wazi wazi mama kaishaibadilisha Kizimkazi . Rais wa kwanza kupendelea watu wa kanda ya ziwa Mama anawabeba wavaa makobazi. Watu kudai katiba mpya sio wajinga Magu alionyesha nguvu ya rais. Kila mtu anajua Rais anaweza kufanya lolote na asifanye lolote.
Nyerere na Mkapa walikuwa na kauli ya chuma pia

Ila tofauti, Magufuli amekuja kipindi cha mtandao, elimu na demokrasia ikiwa juu kutokana na reign ya Kikwete. Ndio maana alikutana na upinzani mkali sana

Kimoja ulichosema na kwa usahihi, aliweza kuonesha kuwa si lazma Rais aishi ndani ya katiba wala kufuata formalities zilizowekwa kwani anaweza kufanya lolote na kusitokee mass political unrests. Kitu ambacho kimewaongezea tabaka tawala uwazi wa kufanya wanayotaka kufanya

Ni kile kile alichokifanya Nyerere kwa kutengeneza mfumo na katiba itakayotemegea uzuri na dhamira ya kiongozi na si mfumo thabiti utakaohakikisha, maslahi ya nchi yanasimamiwa pasipo kujali ni nani anatawala
 
Kushindwa kumuelewa MTU na kukosa maono .

Kwa nature ya Magufuli., he was not a good politicians .

Kwahiyo mambo ya ndio na hapana even criticism ,those things need high level of emotional intelligence. Unfortunately JPM never had those attributes.

Kama tungekuwa na jicho zuri JPM could be appoitend as a Prime minister of JMT .

Kwakuwa Magufuli , alikuwa ni result oriented.

Na kwa kufanya hivi , maybe he could be still Alive .
Sijui kwa nini mnamsifiaga huyo marehemu. Hana lolote yani alikuwa mweupe kichwani. Wabongo bana eti kwasababu alikuwa akifokafoka na kurukaruka hapa na pale kama swala basi mkamuona bonge la Rais.
 
Uko sawa,But ili tupate mfumo imara lazima kwqnza tupate strong character kama JPM ….Then wao ndo walete strong system….
Exactly lakini si kila mara tunahitaji strong character on top, sometimes tunahitaji powerful citizens watakaoweza kusema NDIO ama HAPANA ili viongozi wawe watumishi na si watawala..

Kwa Tanzania, yes tunahitaji strong people on top ambao watakaoweza kuruhusu katiba iwawajibishe endapo watafanya vitu vibovu.

Je watu hao watapatikana, mimi sijui
 
Kushindwa kumuelewa MTU na kukosa maono .

Kwa nature ya Magufuli., he was not a good politicians .

Kwahiyo mambo ya ndio na hapana even criticism ,those things need high level of emotional intelligence. Unfortunately JPM never had those attributes.

Kama tungekuwa na jicho zuri JPM could be appoitend as a Prime minister of JMT .

Kwakuwa Magufuli , alikuwa ni result oriented.

Na kwa kufanya hivi , maybe he could be still Alive .
Tatizo aliye juu ni mtu wa namna gani, mfano Lowasa na JMK
 
Kama asingekuwa rais amini miradi kama Kigongo busisi,Strigle gorge na SGR,fly over ubungo na Tazara,Ndege za ATCL na miradi mingine mingi isingekuwepo pia..japo alikopa au kuwa na ubadhirifu na wizi na ufisadi wa hapa na pale lakini alifanya miradi mingi ya kuonekana ila hawa walofata baada yake mmh.! mamikopo ya matrilioni lakini hamna jipya
 
Kwangu hakustahili kuwa rais kwenye nchi ya kidemokrasia, bali alipaswa kuingia kwa njia ya mapinduzi kama alitaka kutawala atakavyo. Kama ni kweli alipumzishwa ilikuwa sahihi, kwani alikuwa anaenda kuharibu mifumo ya utawala wa kidemokrasia. Isitoshe yeye ndio muasisi wa hawa machawa, japo sio kwa umuhimu.
Magufuli ana mazuri mengi,ila ameacha hofu na ujinga ambao ulikuwa unaanza kuondoka pole pole baada ya nyerere kuupandikiza.
Sa hivi Watanzania tumekuwa kama man'gombe watu hawahoji tena wala kuongea-tumekuwa zaidi ya maiti sababu ya kuogopa kuuuwawa na Usalama wa Taifa au Polisi hii your bi sababu ya Magufuli.
 
Angekuwa Waziri Mkuu asingeweza kuganya hayo unayoyasema maana angekuwa chini ya mtu na asingeweza kutekeleza miradi pasipo mipango iliyowekwa.
Nafasi hiyo ya urais ndio ilimpa nguvu ya kuganya vitu nje ya sheria na utaratibu
 
Back
Top Bottom