lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,145
Kama una Rais mwizi hata ukiwa na waziri mkuu makali vipi hawezi kufua dafu
Mimi pia nilikuwa naamini Magufuli alipaswa kuwa waziri mkuu na sio rais, sababu yangu ilikuwa ni moja tu, Magufuli alistahili mtu wa juu yake wa kumpunguzia kasi, mtu wa kumuonya pale matendo yake yanapokiuka sheria. Kwa ukali wake, utendaji wake na ufuatiliaji wake mzuri, alitosha kuwa waziri mkuu.
Naungana na wewe katika hili, ni wazi kabisa mawaziri wakuu wa nchi yetu huwa hawapewi uzito wanaoustahili kwa mujibu wa katiba, sidhani kama marais huwa wanawaacha wafanye wajibu wao kwa uhuru.
Mfano tu, unafikiri kati ya PM wa sasa na yule waziri mkwe ni nani akiongea watu wanaogopa?