Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.
Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .
Kuibua madeni , n.k
Baada ya mambo mbalimbali kuwa yameshindwa , waliekeza nguvu kubwa kumgombanisha Magufuli na wananchi .
Swala hili pia lilifeli .
Magufuli ni kweli hakumpenda Lissu kwakuwa alijua Kuwait anamuhujumu .
Ila Magufuli hakuhusika na shambulio la Lissu .
Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.
Lissu alivyosema Makonda anaweza akawa anahusika , yupo sahihi na hii mbaya zaidi Magufuli na team yake walimgundua Makonda too late kuwa ni mwanamtandao mwandamizi .
Polepole yupo sahihi 100% najua atafika huku . kuelezea kuhusu watekaji n.k