Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Zile kesi , mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure.

Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.

Na moja ya wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.

IPO hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .

Kuibua madeni , n.k

Baada ya mambo mbalimbali kuwa yameshindwa , waliekeza nguvu kubwa kumgombanisha Magufuli na wananchi .

Swala hili pia lilifeli .

Magufuli ni kweli hakumpenda Lissu kwakuwa alijua Kuwait anamuhujumu .

Ila Magufuli akuhusika na shambulio la Lissu .

Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.

Lissu alivyosema Makonda anaweza akawa anahusika , yupo sahihi na hii mbaya zaidi Magufuli na team yake walimgundua Makonda too late kuwa ni mwanamtandao mwandamizi .

Polepole yupo sahihi 100% najua atafika huku . kuelezea kuhusu watekaji n.k
Hakuna point hapa
 
Mimi sidhani kama Lissu alimhujumu JPM.
Lissu alikuwa anapambana na JPM kama Mwanasiasa wa Upinzani.
Na bahati nzuri kama ni kuhujumu alianza kwa JK ambapo huenda alipewa Mafaili yenye Uozo uliofanywa na serikali ya JK alipokuwa madarakani,hiyo tungesema ilikuwa kete kwa Upinzani.
Hapo ilikuwa ni furaha ya Kunguru wakati Panzi (JK na JPM) wanapigana.
JPM alipoletewa Ripoti ya akina Prof.Osolo na Mruma ya kuchunguza Mikataba feki iliyosainiwa na JK alipokuwa Waziri wa Nishati awamu ya Pili,badala ya kumshugulikia JK kwa kusaini Mikataba hiyo,kamati ilipendekeza akina Ngeleja,Chenge nk wakamatwe badala ya JK ambaye wakati huo hakuwa na Kinga ya Uraisi.
Kwa hiyo JPM akamlinda Kikwete.
Hapa ni JK aliyekuwa anamhujumu JPM moja kwa moja siyo Lissu.
Kosa alilolifanya JPM mpaka ikamgharimu kifo ni kule kuamini kuwa siku moja Wanamtandao watabadilika ( by Polepole)
Kama Polepole atawataja waliompiga Risasi Lissu itakuwa imekoleza vita vya mapambano ndani ya CCM.
 
What do you know kuhusu maswala ya mikataba ya natural resources kutofautisha merit and nonsense.

Mikataba ya natural resources ina aspect nyingi (environment) ni one aspect.

Sasa kupigania swala la mazingira aimaanishi unauelewa pia wa maswala yote ya value contract exchange.

Ni hivi ni watu kama nyinyi ndio mnaopotosha watu na ujinga wa MIGA wakati hiyo mikataba ina aspect of ‘dispute resolution’ na hakuna upuuzi wa MIGA.

By the way dispute resolution ni aspect mojawapo tu kama ilivyo maswala ya mazingira.

Mkataba wa natural resouses una aspects saba. Nne ni finance na nyingine ni expert knowledge.

Hayo sio mambo ya kudhani mtu mwenye LLB anaweza jiripokea tu; ni lazima uwe na uelewa mpana wa management ya industry husika.

You have this habit of making things easy in life; ndio maana nchi ina viongozi wa hovyo kwa kudhani kila mtu anaweza mambo ambayo yanataka specialised thinking.
Ni kwamba sina ufahamu wa mikataba.
Pointi yangau ipo hapa, Lissu aliyesema tunaibiawa kwenye mikataba ya madini, akaitwa mjinga aliyefichama ktk taaluma. Miaka 20+ baadaye unatambua kubwa ni kweli tunaibiawa!. Unaanza mchakato wa kurekebisha.
Huyu mtu aliyesema tunaibiwa 20+, back naona ukakasi wa jumuiya mbumbumbu wa mambo hayo.
 
Kwa hivyo huyo Magufuli aliefanya fujo za kuvunja mikataba.

Alijiamkia tu asubuhi moja, sio kwamba hakuona tunaibiwa?

With due respect mkuu; Good morning or evening depending on where you are on the world.

Binafsi mtu yeyote anaesema Lissu anajua maswala ya mikataba kujibizana nae ni kupoteza muda.

👋
 
Zile kesi , mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure.

Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.

Na moja ya wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.

IPO hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .

Kuibua madeni , n.k

Baada ya mambo mbalimbali kuwa yameshindwa , waliekeza nguvu kubwa kumgombanisha Magufuli na wananchi .

Swala hili pia lilifeli .

Magufuli ni kweli hakumpenda Lissu kwakuwa alijua Kuwait anamuhujumu .

Ila Magufuli akuhusika na shambulio la Lissu .

Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.

Lissu alivyosema Makonda anaweza akawa anahusika , yupo sahihi na hii mbaya zaidi Magufuli na team yake walimgundua Makonda too late kuwa ni mwanamtandao mwandamizi .

Polepole yupo sahihi 100% najua atafika huku . kuelezea kuhusu watekaji n.k
Ndo point tunayoitaka sasa
 
..wewe ni mjinga kwelikweli.

..Umesahau jinsi TAL alivyopigwa na kuwekwa ndani wakati akifuatilia makesi ya wachimbaji wadogo wakati wa utawala awamu ya 4?

..wanamtandao walishindwa nini kupeleka makesi unayodai moja kwa moja kwa mabeberu?

..ukumbuke kwamba mikataba mingi mibovu ilikuwa ni kati ya wanamtandao na mabeberu.

..Na kama TAL alishambuliwa na wanamtandao ili Jpm achafuke kwanini Jpm hakumtibu TAL badala yake akaendelea kumtesa?

..Zaidi, kama TAL alishambuliwa na wanamtandao kwanini Jpm hakuitisha uchunguzi na kuwafikisha wahusika katika vyombo vya sheria?

..Mwisho, hivi unaamini wanamtandao wanaweza kuondoa ulinzi katika eneo la viongozi wa serikali ya Jpm na kufanya tukio?

..Yaani wanamtandao waondoe ulinzi katika eneo anapoishi mbunge wa Chato, na Waziri wa Madini ktk serikali ya Jpm, pamoja na Naibu Spika?

..Na kuhusu Makonda, hata kama mnadai ana elimu ya kuungaunga, hivi ina make sense afanye tukio kubwa kama kupanga kumuua TAL, bila kuogopa kuchukuliwa hatua na Jpm?

..Ukimuunganisha Makonda kwenye shambulizi dhidi ya TAL moja kwa moja unakuwa umemhusisha na Jpm.
Hujui kitu! Ni vyema kuwa msikilizaji na mwisho utoe ya moyoni! Acha papala
 
Kwanini slow slow mda huu ndio anayasema hayo mwanzoni alikuwa wapi kuyasema
Hili swali linachefua sana nafsi yangu..mbna polepole amelijibu karibi kila episodes zake????

Ni hivi dogo; hadi kuanzsha ile shule km ulkua unaiskiliza ilikua ni ishu za kuona Serikali inatindiganya, marehemu Ndugai akamfata akampa warning...then Samia akagundua HP ni toto Tundu akambwaga Malawi..kumbuka hata Jpm alipopita Nchimbi alitupwa balozi.ya mbali.kuepusha kukaa hapa nchini kungeisumbua serikali .then akapelekwa Cuba .yote hii SSH na JK walijua huyu ni toxic..na walijua tukimtema atamwaga mboga..Hp January alipoona Samia kapitishwa KIHUNI ndo HP kuchefukwa nyongo akaamua kuresign..
Kfupi Polepole hatak wanamtandao washike nchi acha UTOTO WA KUSEMA WHY NOW .GROWUP😏
 
Wazungu wanamsemo it’s only easier if you know it.

Sasa watanzania tulio wengi (sio wote) hatujui ili kuwa business lawyer kwanza lazima uwe na shahada ya biashara. Halafu usome LLM to specialise.

Njia nyingine ni kusoma business law.

Vinginevyo kwa angle zingine za mikataba, ukisoma LLB japo utasoma contract law it only covers basic. Lakini uwezi jua maswala ya mikataba ya natural resources (for most part it’s finance), politics and host of other rules you wouldn’t learn on LLB contract law module.

Lissu ni mropokaji and he was a nuisance kipindi cha serikali ya Magufuli inawafanyia fujo ACCACIA kuvunja mkataba.

Not only that hata negotiations za kupata new terms unatakiwa uanze na position za ajabu ili mje kubishana mezani on what’s fair.

Lissu hajui contract za natural resources and so are many Tanzanian, lawyers.

Again na insist kwa wafuasi wake, Lissu hana uelewa wa natural resources contract.

Kama umesoma hayo maswala, hakuna aspect ngumu; kama kutafuta renegotiations ya mikataba. Kwa sababu ni binding. Ndio maana ACCACIA hawakutaka, ila BARRICK waliingiwa na huruma mkataba ulikuwa wa hovyo kweli as majority shareholders wakaingia kati.

Still we didn’t come out better kutokana na poor quality ya negotiators wetu, kwa sababu Kabudi also knows nothing about natural resources contract kama Lissu.

Sasa uhalisia ni kwamba kipindi cha serikali inapambana na ACCACIA either Lissu alikuwa compromised or very stupid.

Nilishasema huko nyuma ningekuwa na mamlaka ningefanya alichofanyiwa; he was just stupid. Sio kwamba akuonywa na kuombwa aache upuuzi.

Lissu hajui mambo ya mikataba, so is Shivji, Mwabukusi and other nonsense ukiwasikiliza.
Hongera
 
Binafsi huwa najiuliza ni kwanini Lisu alikuwa akimpinga JPM kwa mambo mengi wakati hulka yake naya JPM ni kama zinaendana sana hasa kwenye maswala ya haki na rushwa.
Ndo na mm najua now Wanamtandao walikua wanamtumia pia Lissu... wanamtandao walichofanikiwa kutuaminisha watz ni kusema Jpm ni dictator ..tukamchukia...kumbe alkua anapitia mengi maskini..ila ukiskiza clips zake alikua muwazi☹️😭
 
Kwa hivyo huyo Magufuli aliefanya fujo za kuvunja mikataba.

Alijiamkia tu asubuhi moja, sio kwamba hakuona tunaibiwa?

With due respect mkuu; Good morning or evening depending on where you are on the world.

Binafsi mtu yeyote anaesema Lissu anajua maswala ya mikataba kujibizana nae ni kupoteza muda.

👋
Wewe mashavu Ndo unajua au sio
 
Ndo na mm najua now Wanamtandao walikua wanamtumia pia Lissu... wanamtandao walichofanikiwa kutuaminisha watz ni kusema Jpm ni dictator ..tukamchukia...kumbe alkua anapitia mengi maskini..ila ukiskiza clips zake alikua muwazi☹️😭
Umenikosha mama! Wewe ni kati ya few ladies hapa JF mnaojitambua. A very Good Morning
 
Lissu alikuwa anatumika na Wana mtandao kama anavyo tumika zitto ,

Kilichotokea ni kwamba Jpm Alikuwa anamuona kwamba ni msaliti kwakuwa alikuwa ana kwamisha Juhudi zake , Binafsi nilikuwa Nina mchukia jpm lakini now nimegundua ni kwasababu ya propaganda tulizokuwa tunalishwa na Wana mtandao Kwa kile alichokifanya Jpm Kwa lissu huwenda hata wewe ungefanya hivyo baada ya kutambua kwamba lissu anatumiwa na maadui zako ili kuivuruga mipango yako ya Uongozi,

So honestly Bado hatuna wanasiasa wa kweli wote ni wapigaji na matapeli tu
Hivi wewe una mavi kichwani?? Yaani unamuua mmoja kwenye milioni 60 afu unategemea unafuu??

Tangu watu waanze kutekwa WAMENYAMAZA??

UKIMUUA LISSU ATAIBUKA LISSU P2
 
Back
Top Bottom