Wazungu wanamsemo it’s only easier if you know it.
Sasa watanzania tulio wengi (sio wote) hatujui ili kuwa business lawyer kwanza lazima uwe na shahada ya biashara. Halafu usome LLM to specialise.
Njia nyingine ni kusoma business law.
Vinginevyo kwa angle zingine za mikataba, ukisoma LLB japo utasoma contract law it only covers basic. Lakini uwezi jua maswala ya mikataba ya natural resources (for most part it’s finance), politics and host of other rules you wouldn’t learn on LLB contract law module.
Lissu ni mropokaji and he was a nuisance kipindi cha serikali ya Magufuli inawafanyia fujo ACCACIA kuvunja mkataba.
Not only that hata negotiations za kupata new terms unatakiwa uanze na position za ajabu ili mje kubishana mezani on what’s fair.
Lissu hajui contract za natural resources and so are many Tanzanian, lawyers.
Again na insist kwa wafuasi wake, Lissu hana uelewa wa natural resources contract.
Kama umesoma hayo maswala, hakuna aspect ngumu; kama kutafuta renegotiations ya mikataba. Kwa sababu ni binding. Ndio maana ACCACIA hawakutaka, ila BARRICK waliingiwa na huruma mkataba ulikuwa wa hovyo kweli as majority shareholders wakaingia kati.
Still we didn’t come out better kutokana na poor quality ya negotiators wetu, kwa sababu Kabudi also knows nothing about natural resources contract kama Lissu.
Sasa uhalisia ni kwamba kipindi cha serikali inapambana na ACCACIA either Lissu alikuwa compromised or very stupid.
Nilishasema huko nyuma ningekuwa na mamlaka ningefanya alichofanyiwa; he was just stupid. Sio kwamba akuonywa na kuombwa aache upuuzi.
Lissu hajui mambo ya mikataba, so is Shivji, Mwabukusi and other nonsense ukiwasikiliza.