..wewe ni mjinga kwelikweli.
..Umesahau jinsi TAL alivyopigwa na kuwekwa ndani wakati akifuatilia makesi ya wachimbaji wadogo wakati wa utawala awamu ya 4?
..wanamtandao walishindwa nini kupeleka makesi unayodai moja kwa moja kwa mabeberu?
..ukumbuke kwamba mikataba mingi mibovu ilikuwa ni kati ya wanamtandao na mabeberu.
..Na kama TAL alishambuliwa na wanamtandao ili Jpm achafuke kwanini Jpm hakumtibu TAL badala yake akaendelea kumtesa?
..Zaidi, kama TAL alishambuliwa na wanamtandao kwanini Jpm hakuitisha uchunguzi na kuwafikisha wahusika katika vyombo vya sheria?
..Mwisho, hivi unaamini wanamtandao wanaweza kuondoa ulinzi katika eneo la viongozi wa serikali ya Jpm na kufanya tukio?
..Yaani wanamtandao waondoe ulinzi katika eneo anapoishi mbunge wa Chato, na Waziri wa Madini ktk serikali ya Jpm, pamoja na Naibu Spika?
..Na kuhusu Makonda, hata kama mnadai ana elimu ya kuungaunga, hivi ina make sense afanye tukio kubwa kama kupanga kumuua TAL, bila kuogopa kuchukuliwa hatua na Jpm?
..Ukimuunganisha Makonda kwenye shambulizi dhidi ya TAL moja kwa moja unakuwa umemhusisha na Jpm.