Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hata wewe utakufa na hautorudi tenaUmeamua kuamisha magoli
Dikteta hayupo tena na hawezi rudi
Hata wewe utakufa na hautorudi tenaUmeamua kuamisha magoli
Dikteta hayupo tena na hawezi rudi
Demokrasia naona imetamalaki kwa sasa, eti?...Umeamua kuamisha magoli
Dikteta hayupo tena na hawezi rudi
NIUKWELI KABISA LISSU ALITUMIKA KIPUMBAVU SANA NA WANAMTANDAO KINA SAMIA NA CHADEMA PIA ILITUMIKA ILA LEO HAKUNA MTETEZI KATI YA WALE ALIO WAPIGANIA DHIDI WA WAZALENDO WANANCHI ...LISSU ANA LIPA LAANA YAKE MWENYEWE .. SIKU NYINGINE WATU KAMA LISU WAJIFUNZE KUWA NA AKILI ZA KIUME SIYO AKILI ZA KIMAMBIZile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.
Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .
Kuibua madeni , n.k
Baada ya mambo mbalimbali kuwa yameshindwa , waliekeza nguvu kubwa kumgombanisha Magufuli na wananchi .
Swala hili pia lilifeli .
Magufuli ni kweli hakumpenda Lissu kwakuwa alijua Kuwait anamuhujumu .
Ila Magufuli hakuhusika na shambulio la Lissu .
Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.
Lissu alivyosema Makonda anaweza akawa anahusika , yupo sahihi na hii mbaya zaidi Magufuli na team yake walimgundua Makonda too late kuwa ni mwanamtandao mwandamizi .
Polepole yupo sahihi 100% najua atafika huku . kuelezea kuhusu watekaji n.k
Ila sitaacha legacy ya udiktetaHata wewe utakufa na hautorudi tena
Nani akukumbuke we kijambio tu ukifa umeoza hamna mtu atakaekuongelea takataka kama weweIla sitaacha legacy ya udikteta
Lissu hajawahi kutumika na yeyote. Ndio maana alishambuliwa mabunduki sababu hanunuliki.M
Mbowe ni mwanamtandao na alikua Anamtumia Lissu ova
Sasa hawa si wameamua kulipa, halafu tofautisha litigation and ADR (arbitration ni ADR. There is slight difference kwenye utaratibu wa hayo mambo.We hujitambui kweli, sasa hizo litigation mbona tumelipishwa so far Billion 900 na bado mashauri 6 yanasubiri hukumu.
Huwezi zuia tu retention licence wakati wewe mwenyewe ulizitoa. Kama unaona kuna uhuni si tungefungua shauri kwa arbitrary na tushtaki tupewe compensation.
Kwa akili hizi ndio maana tunalipishwa kila siku. Lissu is smart na ndio maana aliyowaonya yanatokea leo.
Bunch of sore Losers
Lisu alipigania mkataba au environmental issues ambazo zilikuwa zina impact surrounding communities.Magufuli kafanya lipi acha kufanya watu wajinga
Juzi waziri kasema bado makinikia yanapelekwa nje ya nchi swali la kujiuliza magufuli alifanya kipi cha maana ilihali makinikia yanapelekwa nje ya nchi
Unajikutaga unaakili kumbe ni bure kabisa
Lisu ndo mtu wa kwanza kuupigia kelele mikataba ya madini ya dhahabu kule kanda ya ziwa sio nyuma ya keyboard bali alienda na kuwasaidia watu waliochukuliwa mashamba yao kimangula na kufanywa migodi
Ni mjinga pekee anaye-underestimate kazi aliyoifanya lisu
Wapi nimetaja Acacia popote? Au unakurupuka tu kujibu ambacho sijazungumza. JPM alibadili sheria ambazo zilifanya kazi retrospectively na zikaathiri kampuni kibao. Hasa sheria ya natural resources permanent sovereignty act na nyinginezo. Alizifuta retention licence kibao na ndio mashtaka yakaanza call it litigation or arbitration doesn't matter ila tulilipishwa.Magufuli hakufuta licence ya ACCACIA
Kwahiyo moja ya procedure ni kufuta retention licence, au kuenforce sheria retrospectively, au kutengeneza sheria zinazokinzana na global practice mfano eti mahakama za Tanzania ndio zitakua zinasikiliza dispute za wawekezaji!! That was pure insanity.Kwenye mkataba kuna ADR procedures kabla ya kwenda kwenye usuluhishi wa kimataifa, like I said before someni vizuri IGA muielewe basically ile ndio stabilisation clause ya mkataba
..wewe ni mjinga kwelikweli.
..Umesahau jinsi TAL alivyopigwa na kuwekwa ndani wakati akifuatilia makesi ya wachimbaji wadogo wakati wa utawala awamu ya 4?
..wanamtandao walishindwa nini kupeleka makesi unayodai moja kwa moja kwa mabeberu?
..ukumbuke kwamba mikataba mingi mibovu ilikuwa ni kati ya wanamtandao na mabeberu.
..Na kama TAL alishambuliwa na wanamtandao ili Jpm achafuke kwanini Jpm hakumtibu TAL badala yake akaendelea kumtesa?
..Zaidi, kama TAL alishambuliwa na wanamtandao kwanini Jpm hakuitisha uchunguzi na kuwafikisha wahusika katika vyombo vya sheria?
..Mwisho, hivi unaamini wanamtandao wanaweza kuondoa ulinzi katika eneo la viongozi wa serikali ya Jpm na kufanya tukio?
..Yaani wanamtandao waondoe ulinzi katika eneo anapoishi mbunge wa Chato, na Waziri wa Madini ktk serikali ya Jpm, pamoja na Naibu Spika?
..Na kuhusu Makonda, hata kama mnadai ana elimu ya kuungaunga, hivi ina make sense afanye tukio kubwa kama kupanga kumuua TAL, bila kuogopa kuchukuliwa hatua na Jpm?
..Ukimuunganisha Makonda kwenye shambulizi dhidi ya TAL moja kwa moja unakuwa umemhusisha na Jpm.
Mwendazake pia mhalifu na gaidi 2%Wanamtandao ni wahalifu 100% na wanapaswa kukamatwa na kufilisiwa ukwasi wao wote kwani kwa asilimia kubwa wameupata kwa njia haramu lakini hilo halimsafishi Jiwe kumtoa kwenye kupanga na kuratibu shambulio la kumuua Lissu, tunajua nini alisema kabla ya Lissu kushambuliwa na kilichokuwa kikiendelea wakati ule pamoja na kwamba ni kweli Lissu data nyingi alikuwa alipewa na watu walio ndani ya mfumo.
Wahuni hawakuhusika na shambulio dhidi ya Lissu, hapo Jiwe naye hukohuko(six feet under) abebeshwe gunia la mimavi linalomhusu yeye mwenyewe.
NB: Tuko na Polepole kwenye issue ya Wanamtandao kupanga na kutekeleza mauaji dhidi ya Jiwe.
Ni mikataba pamoja na environment issueLisu alipigania mkataba au environmental issues ambazo zilikuwa zina impact surrounding communities.
Ebu leta ushahidi Lissu aliwahi pigania kubadilika kwa mkataba.
Punguza uropokaji.
Tają dispute moja kati ya mikataba aliyofuta Magufuli nchi ililipa deni akiwa hai.Wapi nimetaja Acacia popote? Au unakurupuka tu kujibu ambacho sijazungumza. JPM alibadili sheria ambazo zilifanya kazi retrospectively na zikaathiri kampuni kibao. Hasa sheria ya natural resources permanent sovereignty act na nyinginezo. Alizifuta retention licence kibao na ndio mashtaka yakaanza call it litigation or arbitration doesn't matter ila tulilipishwa.
Sasa wewe unayesema unatakiwa uanze na aggressive position ndio mfanye negotiation na Lissu aliyepinga hiyo approach nani alikua sahihi?
Usomi mwingi ila hamlisaidii taifa, mnapenda sana formalities kuliko precision.
Kaka wanamtandao ndio walipanga kumuua Lisu je Magufuli alichukua hatua gani?? Wanamtandao ndio waling'oa camera kwa lisu tena place anakaa waziri mbunge wa chato kalemani!!
Alitaka kumuua Lissu ni Magufuli na sio mtandao wacha team mwendakuzimu na nyie mpigwe mlitesa sana wenzenu wacha muipate fresh
Sera ya utekaji ilianzishwa na Magufuli sasa imekuwa ya chama
Who determines kwamba kuna breach? Kulikua na independent auditor/overwatch au ni upande mmoja tu ukiamua basi unakua ndio fact? Wasomi wa nchi hii ni disappointmentHaya yanayoendelea wanashindwa kesi sio kwamba nchi ina makosa, moja ya conditional breach kubwa ya mikataba ni performance. Ukipewa kitalu ujafanya kitu kwa miaka hiyo ni performance breach (conditional) inayohalalisha kuvunja mkataba na ndio mikataba aliyokuwa akivunja Magufuli.
Ndio maana nikakueleza maswala ya freezing clause na intangible clauses (hizo ni aspects za stabilisation clause) ambapo sheria żako haziwezi badili existing terms za mkataba ulio live kirahisi.Kwahiyo moja ya procedure ni kufuta retention licence, au kuenforce sheria retrospectively, au kutengeneza sheria zinazokinzana na global practice mfano eti mahakama za Tanzania ndio zitakua zinasikiliza dispute za wawekezaji!! That was pure insanity.
Cha ajabu kina Prof. OSoro ni wasomi wakubwa ila walifanya mambo ya layman kabisa. Usishangae hata wewe ulikua kwenye ile kamati ya makinikia!! SMH