Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Nikikupa kitalu uchimbe madini baada ya miaka kadhaa after host government agreement ujafanya kitu. Maana yake huna uwezo wa kuchimba na unaninyima income. That’s a breach uhitaji auditor kuona deprivation of ‘consideration’.
Kama ni rahisi hivi mbona tumeanguka kwenye kesi? Hivi mkuu ndio mlivyokua mnaishauri serikali kwenye yale mashauri ICSID? kwamba hajachimba madini kakamate mgodi yaani just like that!! Hakuna due process hakuna enquiry hakuna performance audit yaani unajiamulia tu?
 
Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.

Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.

Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .

Kuibua madeni , n.k

Baada ya mambo mbalimbali kuwa yameshindwa , waliekeza nguvu kubwa kumgombanisha Magufuli na wananchi .

Swala hili pia lilifeli .

Magufuli ni kweli hakumpenda Lissu kwakuwa alijua Kuwait anamuhujumu .

Ila Magufuli hakuhusika na shambulio la Lissu .

Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.

Lissu alivyosema Makonda anaweza akawa anahusika , yupo sahihi na hii mbaya zaidi Magufuli na team yake walimgundua Makonda too late kuwa ni mwanamtandao mwandamizi .

Polepole yupo sahihi 100% najua atafika huku . kuelezea kuhusu watekaji n.k
Logical non sequitur fallacy plus unsubstantiated conjecture.
 
Mbona ana kitabu kabisa tulifundishiwa nikiwa UDSM!! Kinaitwa Golden opportunity kinaongelea madhaifu ya kisheria na kiutendaji kuanzia mikataba, mapato hadi udhibiti yanayohitaji mabadiliko ili madini yawe na tija kwenye uchumi.
Mwamba kaamjulia lisu kwenye media na anafikiri anajua kuliko lisu kumbe kamzidi mbali sana
 
Wao wanamjua vyema kwamba anatafuta reputation kwakupitia mgongo wao 🤣🤣🤣

Hivi inawezekanaje Leo hii Mimi nihusike katika kukulipa wewe na kukupa milage ya kisiasa halafu kesho ugeuke nakuanza kunisema na Unataka kugeuka kuwa threat kwangu wakati Nina jua wazi kwamba Mimi na wewe wote ni Matapeli wa kisiasa
Kwahiyo Lissu ni tapeli wa kisiasa 😂😂😂😂 angalia usije shushiwa matusi mazito na makamanda
 
Wazungu wanamsemo it’s only easier if you know it.

Sasa watanzania tulio wengi (sio wote) hatujui ili kuwa business lawyer kwanza lazima uwe na shahada ya biashara. Halafu usome LLM to specialise.

Njia nyingine ni kusoma business law.

Vinginevyo kwa angle zingine za mikataba, ukisoma LLB japo utasoma contract law it only covers basic. Lakini uwezi jua maswala ya mikataba ya natural resources (for most part it’s finance), politics and host of other rules you wouldn’t learn on LLB contract law module.

Lissu ni mropokaji and he was a nuisance kipindi cha serikali ya Magufuli inawafanyia fujo ACCACIA kuvunja mkataba.

Not only that hata negotiations za kupata new terms unatakiwa uanze na position za ajabu ili mje kubishana mezani on what’s fair.

Lissu hajui contract za natural resources and so are many Tanzanian, lawyers.

Again na insist kwa wafuasi wake, Lissu hana uelewa wa natural resources contract.

Kama umesoma hayo maswala, hakuna aspect ngumu; kama kutafuta renegotiations ya mikataba. Kwa sababu ni binding. Ndio maana ACCACIA hawakutaka, ila BARRICK waliingiwa na huruma mkataba ulikuwa wa hovyo kweli as majority shareholders wakaingia kati.

Still we didn’t come out better kutokana na poor quality ya negotiators wetu, kwa sababu Kabudi also knows nothing about natural resources contract kama Lissu.

Sasa uhalisia ni kwamba kipindi cha serikali inapambana na ACCACIA either Lissu alikuwa compromised or very stupid.

Nilishasema huko nyuma ningekuwa na mamlaka ningefanya alichofanyiwa; he was just stupid. Sio kwamba akuonywa na kuombwa aache upuuzi.

Lissu hajui mambo ya mikataba, so is Shivji, Mwabukusi and other nonsense ukiwasikiliza.
From start to end of narration calling people nonsense!Nonsense yourself
 
Kabla ya Magufuli kuwa rais ni lini aliwahi kukiri kuwa tunaibiwa? Maana Lisu tulimuona akasema hivyo hadharani. Au Magufuli alisubiri hadi awe rais ndio ajionyeshe mzalendo na kujua kuwa tunaibiwa?
Luhaga Mpina anaangalia ulichoandika hapa na kuwaza yaliyomkuta anatikisa kichwa kwa huzuni kubwa sana,
Ukate tawi ulilokalia?
 
Lissu ni mpinzani, hakuwa tumu ya machawa wala wapiga vigelegele, hoja zake alizoibua zilikuwa ni za uongo?

Vipi hoja nyingine alizoibua na kuhoji mfano hii ya makaa ya mawe wanamtandao wamemtuma?
Umetumwa kazi ya usnitch, umememaliza aliyekutuma anataka kukumaliza afute ushahidi unaponyoka, anapanga plan ya pili unaingia kwenye mtego lakini mara hii hataki kujichafua kwa kukuua anakupa Kesi feki ili akuulie gerezani.....
 
Wanamtandao wakiweka shada la maua pamoja
IMG-20250831-WA0517.jpg
 
Mbona ana kitabu kabisa tulifundishiwa nikiwa UDSM!! Kinaitwa Golden opportunity kinaongelea madhaifu ya kisheria na kiutendaji kuanzia mikataba, mapato hadi udhibiti yanayohitaji mabadiliko ili madini yawe na tija kwenye uchumi.
Hiko utaita kitabu cha ushauri wa mikataba kweli?

Au ni rumbling about nothing for the most part.

I know you know types of natural resources contracts kama vile PSA na Services contracts.

Sasa mikataba aipewi majina tu, ina structure ya kuandaa pia na elements. Core elements zikiwa technical and commercial aspects (which is mainly finance).

Ndio zinafuata hizo aspects za environment, social, local economic benefits and political.

Wapi kwenye hiko kitabu umeona Lissu kataja hata muundo wa mkataba hata mmoja.

Hayo mengine ya mahakamani lazima uelewe mikataba inafungwa na aina mbili za sheria terms implied in the contract and term implied by national law. Sasa kuvunja mkataba kwa sheria tu hilo halipo lazima itafutwe breach.

Kama ulisikiliza dispute yote ya Indian serikali ilisema hakukuwa na chochote kilichofanyika; but they were just bad lawyers overall they lacked knowledge on contract issues for the most part.

Ni hivi the only way utamuona Lissu mjuaji wa hayo mambo iwapo hujui haya maswala.

Otherwise Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba. Hayo maelezo ya kodi kuanza kuyaongelea story ni ndefu; lakini ule sio ushauri wa kitaalamu kwa maswala ya mikataba.
 
Umetumwa kazi ya usnitch, umememaliza aliyekutuma anataka kukumaliza afute ushahidi unaponyoka, anapanga plan ya pili unaingia kwenye mtego lakini mara hii hataki kujichafua kwa kukuua anakupa Kesi feki ili akuulie gerezani.....
Hapa ndio unaona umetupoteza maboya vibaya.
 
Lakini umeshaambiwa kwamba walimtumia Lissu pasipo yeye kufahamu anatumika..
Jpm tayari alikuwa anamchukia Lissu, ingewezekana vipi akamtibu? ule msemo adui muombee njaa ndio hivyo..
Hapo mtoa hoja bado hoja yake ina nguvu
Yes
 
Hila rudi kwenye maelezo ya mtoa mada alafu ongeza na uwezo wako wa kuchanganua mambo, Lissu alikuwa anatumika pasipo kujua anaewatumikia wana lengo gani ovu juu ya nchi na anayeenda kumuhujumu ana malengo gani mema na mapenzi gani na nchi yake.

Hila kwa kuwa Lissu, Mkono wa Mungu ulikuwa Juu yake kwa yale mazuri aliyokwishawai kuyafanya ndio maana ali- survive katika jaribio lile japo aliweza kutumika na waovu katika kuhujumu pasipo yeye kujua kuwa anachofanya anatekeleza ajenda ovu ya mahasimu wa Jiwe ambao aliwapiga spana katika nyanja zote zenye mirija ya fedha.

Ila kwa sasa Lissu keshajua adui yake kwa sasa ni nani na alikuwa ni nani ila hawezi kuja kuliongea hilo kwa sasa labda Malaika wake kama atamwambia aseme.
Walichonganishwa bila wao kujijua pata picha combination ya Magufuli na Lissu wangeamua kushughulikia mjizi ya nchi hii kungekalika? Lakini kuna kipindi akiwa Singinda Magu alisema anaomba wazee wa singida wa Mwambie Lissu hasingombee Urais atamtafutia kazi Magufuli alijua uwezo wa Lissu sema wanamtandao walikua tayari walishamuwini lissu kipindi kile alitakiwa akubali kiufupi mboye alimtumia Lissu kipindi cha Magu na kila mtu anajua mboye ni rafiki wa mzee ya Msoga. Magu na Lissu wamekua wote Bungeni kwa hiyo walikua wanafahamiana vizuri Mungu kachukua mmoja tumebakiza mmoja kazi kwenu wazee wa system
 
but they were just bad lawyers overall they lacked knowledge on contract issues for the most part.
Ooooh kumbe kina Professor Mruma na PhD zote hizo hawajui lolote maana ndio walikuwa mashahidi!! Vipi Professor Kabudi aliekua senior advisor wa legal teams naye hajui lolote??

Kubali tu kesi ilikua imetukalia vibaya hata tungetetewa na malaika tungefeli tu.
Hiko utaita kitabu cha ushauri wa mikataba kweli?
Ulisema aliongelea mazingira tu kwamba hajawahi ongelea chochote kuhusu mikataba!! anyhow hicho kitabu sio cha mazingira na ndio nilitaka tu kuku prove hapo. BTW mikataba ni SIRI na JPM mpaka leo hajawahi weka wazi mikataba yoyote ile so I don't expect lissu kuchambua clause by clause ya specific agreement or contract.
Kama ulisikiliza dispute yote ya Indian serikali ilisema hakukuwa na chochote kilichofanyika
Hapana walisema walikua "lenient'' ila walikir Retention licence was valid naomba uangalie clip niliyoweka hapo juu. Ila sababu sheria mpya ilikuja ikabidi tu waifute leseni ili ku comply na clauses mpya.
Otherwise Lissu hana uelewa wa maswala ya mikataba. Hayo maelezo ya kodi kuanza kuyaongelea story ni ndefu; lakini ule sio ushauri wa kitaalamu kwa maswala ya mikataba
Kama hajui lolote mbona tena unasema hao mawakili wa serikali ni bad!! Ahahahahaha hivi unadhani Lissu angeenda kuwatetea mngeaibika vile?

Give credit where due, the guy is smarter than ya'll.

Hopefully ulisoma pia hiki kipande page ya 9 ya kitabu. Cha ajabu JPM mliomuiya mzalendo naye hakuwahi weka wazi mikataba kinyume kabisa na TEITI Act inayotaka transparency ya mikataba bungeni (Naomba ujibu hili)

Parliament has never formally seen any of the contracts signedby the government with the mining companies; therecent contract for Barrick’s new Buzwagi mine hasbeen widely viewed in Tanzania but only since it wasleaked to the media
 
Mwamba kaamjulia lisu kwenye media na anafikiri anajua kuliko lisu kumbe kamzidi mbali sana
Huyo jamaa ni mpumbavu ana chuki na Lissu ukiona mtu anaandika sentensi mbili ana changanya lugha ujue ni mshamba na Limbukeni anaetaka kujifanya anajua kumbe hajui kitu
 
Back
Top Bottom