Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
Zile kesi , mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure.
Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.
IPO hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .
Kuibua madeni , n.k
Baada ya mambo mbalimbali kuwa yameshindwa , waliekeza nguvu kubwa kumgombanisha Magufuli na wananchi .
Swala hili pia lilifeli .
Magufuli ni kweli hakumpenda Lissu kwakuwa alijua Kuwait anamuhujumu .
Ila Magufuli akuhusika na shambulio la Lissu .
Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.
Lissu alivyosema Makonda anaweza akawa anahusika , yupo sahihi na hii mbaya zaidi Magufuli na team yake walimgundua Makonda too late kuwa ni mwanamtandao mwandamizi .
Polepole yupo sahihi 100% najua atafika huku . kuelezea kuhusu watekaji n.k
Wanamtandao ni wahalifu 100% na wanapaswa kukamatwa na kufilisiwa ukwasi wao wote kwani kwa asilimia kubwa wameupata kwa njia haramu lakini hilo halimsafishi Jiwe kumtoa kwenye kupanga na kuratibu shambulio la kumuua Lissu, tunajua nini alisema kabla ya Lissu kushambuliwa na kilichokuwa kikiendelea wakati ule pamoja na kwamba ni kweli Lissu data nyingi alikuwa alipewa na watu walio ndani ya mfumo.Zile kesi , mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure.
Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.
IPO hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .
Kuibua madeni , n.k
Baada ya mambo mbalimbali kuwa yameshindwa , waliekeza nguvu kubwa kumgombanisha Magufuli na wananchi .
Swala hili pia lilifeli .
Magufuli ni kweli hakumpenda Lissu kwakuwa alijua Kuwait anamuhujumu .
Ila Magufuli akuhusika na shambulio la Lissu .
Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.
Lissu alivyosema Makonda anaweza akawa anahusika , yupo sahihi na hii mbaya zaidi Magufuli na team yake walimgundua Makonda too late kuwa ni mwanamtandao mwandamizi .
Polepole yupo sahihi 100% najua atafika huku . kuelezea kuhusu watekaji n.k
... jamaa anaandaliwa 'script' naye yumo tu! Mwishowe mafaili yanaanza kuingiliana na simulizi Kwenda HALIJOJO!Zile kesi , mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure.
Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.
IPO hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .
Kuibua madeni , n.k
Baada ya mambo mbalimbali kuwa yameshindwa , waliekeza nguvu kubwa kumgombanisha Magufuli na wananchi .
Swala hili pia lilifeli .
Magufuli ni kweli hakumpenda Lissu kwakuwa alijua Kuwait anamuhujumu .
Ila Magufuli akuhusika na shambulio la Lissu .
Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.
Lissu alivyosema Makonda anaweza akawa anahusika , yupo sahihi na hii mbaya zaidi Magufuli na team yake walimgundua Makonda too late kuwa ni mwanamtandao mwandamizi .
Polepole yupo sahihi 100% najua atafika huku . kuelezea kuhusu watekaji n.k
Kwa kweli wana mtandao hawanaga mapenzi na mtu, yaani walimtumia Lissu kipindi kile na sasa wamemgeuka na kumfunga. Hakika mateso ni hapa hapa duniani, sasa naamini kwanini Lissu anaanza kuchanganikiwa akiwa jela. Ilibidi ajifunze kwa Zitto ambaye anachezewa kila kukicha na CCM mpaka sasa wanamcheka tu.Zile kesi , mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure.
Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.
IPO hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .
Kuibua madeni , n.k
Baada ya mambo mbalimbali kuwa yameshindwa , waliekeza nguvu kubwa kumgombanisha Magufuli na wananchi .
Swala hili pia lilifeli .
Magufuli ni kweli hakumpenda Lissu kwakuwa alijua Kuwait anamuhujumu .
Ila Magufuli akuhusika na shambulio la Lissu .
Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.
Lissu alivyosema Makonda anaweza akawa anahusika , yupo sahihi na hii mbaya zaidi Magufuli na team yake walimgundua Makonda too late kuwa ni mwanamtandao mwandamizi .
Polepole yupo sahihi 100% najua atafika huku . kuelezea kuhusu watekaji n.k
Afu mbona Jpm alitamka wazi kwamba mtu anaepiga maendeleo anatakiwa kuuwawa..wewe ni mjinga kwelikweli.
..Umesahau jinsi TAL alivyopigwa na kuwekwa ndani wakati akifuatilia makesi ya wachimbaji wadogo wakati wa utawala awamu ya 4?
..wanamtandao walishindwa nini kupeleka makesi unayodai moja kwa moja kwa mabeberu?
..ukumbuke kwamba mikataba mingi mibovu ilikuwa ni kati ya wanamtandao na mabeberu.
..Na kama TAL alishambuliwa na wanamtandao ili Jpm achafuke kwanini Jpm hakumtibu TAL badala yake akaendelea kumtesa?
..Zaidi, kama TAL alishambuliwa na wanamtandao kwanini Jpm hakuitisha uchunguzi na kuwafikisha wahusika katika vyombo vya sheria?
..Mwisho, hivi unaamini wanamtandao wanaweza kuondoa ulinzi katika eneo la viongozi wa serikali ya Jpm na kufanya tukio?
..Yaani wanamtandao waondoe ulinzi katika eneo anapoishi mbunge wa Chato, na Waziri wa Madini ktk serikali ya Jpm, pamoja na Naibu Spika?
..Na kuhusu Makonda, hata kama mnadai ana elimu ya kuungaunga, hivi ina make sense afanye tukio kubwa kama kupanga kumuua TAL, bila kuogopa kuchukuliwa hatua na Jpm?
..Ukimuunganisha Makonda kwenye shambulizi dhidi ya TAL moja kwa moja unakuwa umemhusisha na Jpm.
Ngoja wafuasi wa kamanda msaliti waje, utayaoga matusi.IPO hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .
Naam ndio Iko hivyoSiasa ni umafia tunakaa tunapanga badaye tunasalitiana
Lissu alikuwa anatumika na Wana mtandao kama anavyo tumika zitto ,Wanamtandao ni wahalifu 100% na wanapaswa kukamatwa na kufilisiwa ukwasi wao wote kwani kwa asilimia kubwa wameupata kwa njia haramu lakini hilo halimsafishi Jiwe kumtoa kwenye kupanga na kuratibu shambulio la kumuua Lissu, tunajua nini alisema kabla ya Lissu kushambuliwa na kilichokuwa kikiendelea wakati ule pamoja na kwamba ni kweli Lissu data nyingi alikuwa alipewa na watu walio ndani ya mfumo.
Wahuni hawakuhusika na shambulio dhidi ya Lissu, hapo Jiwe naye hukohuko(six feet under) abebeshwe gunia la mimavi linalomhusu yeye mwenyewe.
NB: Tuko na Polepole for kwenye issue ya Wanamtandao kupanga na kutekeleza mauaji dhidi ya Jiwe.
Wao wanamjua vyema kwamba anatafuta reputation kwakupitia mgongo wao 🤣🤣🤣Kwa kweli wana mtabdao hawanaga mapenzi na mtu, yaani walimtumia Lissu lipindi kile na sasa wamemgeuka na kumfunga. Hakika mateso ni hapa hapa duniani, sasa naamini kwanini Lissu anaanza kuchanganikiwa akiwa jela. Ilibidi ajifunze kwa Zitto ambaye anachezewa kila kukicha na CCM mpaka sasa wanamcheka tu.
Nimecheka tuZile kesi , mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure.
Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo.
Na moja ya wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu.
IPO hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili kuyapeleka kwa wananchi na kuyapeleka kwa mabeberu wa nje .
Kuibua madeni , n.k
Baada ya mambo mbalimbali kuwa yameshindwa , waliekeza nguvu kubwa kumgombanisha Magufuli na wananchi .
Swala hili pia lilifeli .
Magufuli ni kweli hakumpenda Lissu kwakuwa alijua Kuwait anamuhujumu .
Ila Magufuli akuhusika na shambulio la Lissu .
Kupigwa risasi kwa Lissu ulikuwa mpango wa wanamtandao ili kuhakikisha Serikali ya JPM inachafuka ndani na nje.
Lissu alivyosema Makonda anaweza akawa anahusika , yupo sahihi na hii mbaya zaidi Magufuli na team yake walimgundua Makonda too late kuwa ni mwanamtandao mwandamizi .
Polepole yupo sahihi 100% najua atafika huku . kuelezea kuhusu watekaji n.k
Lkn, huyu Lissu asiyejua mambo ya mikataba ndo alikuwa wa kwanza kupiga kelele kuwa mikataba ni mibovu kipindi cha Nkapa. Takriban miaka 20+ serekali ndo akaona ukweli.Wazungu wanamsemo it’s only easier if you know it.
Sasa watanzania tulio wengi (sio wote) hatujui ili kuwa business lawyer kwanza lazima uwe na shahada ya biashara. Halafu usome LLM to specialise.
Njia nyingine ni kusoma business law.
Vinginevyo kwa angle zingine za mikataba, ukisoma LLB japo utasoma contract law it only covers basic. Lakini uwezi jua maswala ya mikataba ya natural resources (for most part it’s finance), politics and host of other rules you wouldn’t learn on LLB contract law module.
Lissu ni mropokaji and he was a nuisance kipindi cha serikali ya Magufuli inawafanyia fujo ACCACIA kuvunja mkataba.
Not only that hata negotiations za kupata new terms unatakiwa uanze na position za ajabu ili mje kubishana mezani on what’s fair.
Lissu hajui contract za natural resources and so are many Tanzanian, lawyers.
Again na insist kwa wafuasi wake, Lissu hana uelewa wa natural resources contract.
Kama umesoma hayo maswala, hakuna aspect ngumu; kama kutafuta renegotiations ya mikataba. Kwa sababu ni binding. Ndio maana ACCACIA hawakutaka, ila BARRICK waliingiwa na huruma mkataba ulikuwa wa hovyo kweli as majority shareholders wakaingia kati.
Still we didn’t come out better kutokana na poor quality ya negotiators wetu, kwa sababu Kabudi also knows nothing about natural resources contract kama Lissu.
Sasa uhalisia ni kwamba kipindi cha serikali inapambana na ACCACIA either Lissu alikuwa compromised or very stupid.
Nilishasema huko nyuma ningekuwa na mamlaka ningefanya alichofanyiwa; he was just stupid. Sio kwamba akuonywa na kuombwa aache upuuzi.
Lissu hajui mambo ya mikataba, so is Shivji, Mwabukusi and other nonsense ukiwasikiliza.
Apambane na Polepole kwa upole na wala asimtumie Lissu kama jambia lake.Wapambane wao kwa wao tuone wanavyong'oana meno yao machafu kwa kula haramu.Huyu apuuzwe kwasababu ni mpuuzi.
What do you know kuhusu maswala ya mikataba ya natural resources ili kutofautisha merit and nonsense ya hoja.Lkn, huyu Lissu asiyejua mambo ya mikataba ndo alikuwa wa kwanza kupiga kelele kuwa mikataba ni mibovu kipindi cha Nkapa. Takriban miaka 20+ serekali ndo akaona ukweli.