ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
NB: Mwanaume itambue thamani yako fanya kazi pata hela, achana na mafundisho ya kukuandaa kuwa mtumwa wa wanawake , ishi maisha yako aiseee hiii dunia itakua pepo kwako.....trust me utaenjoy Sana .........ila ukiwa mtumwa wa wanawake imekula kwako.
Hawa wahusika kwenye hiki kisa mbona nawafahamu Mkuu?Kama kawaida katika harakati zangu za hapa na pale nikiwa kwenye fukwe nabalizi akatokea bro mmoja tusie fahamiana ila tulisalimiana na kila mtu akaendelea na mishe zake 2017 hiyo.
Baada Kama ya wiki mbili/tatu hivi tunakutana town Tena tukasalimiana na akaniuliza vipi umeenda Tena kule beach nikamjibu hapana ila natengeneza ratiba ya kwenda huko. Akaniomba namba na kuniambia nikiwa tayari nimjulishe twende wote nikamjibu poa.
labda uwe una miliki jiko la mkaa!! mwanamke wako mapene unayo??? ukiwa na bonge la chumba! sofa kaliiiii!! jiko la kisasa! mweee!! nakwambi hatoki na ni kesi kubwaaa!! polisiiii!!Huyo jamaa mvumilivu sana, mm mwanamke wa hivyo wala sijifikirii mara 2, nakupiga chini asubuhi na mapema nakubeba na vitu vyako nakupeleka kwenu.
Haya maisha mafupi sana, sasa why tuuane na pressure na visukari mapema?