Mwaka 2017 nilimuokoa kaka yangu wa hiari aliyekuwa anasumbuliwa na ndoa yake

Mwaka 2017 nilimuokoa kaka yangu wa hiari aliyekuwa anasumbuliwa na ndoa yake

NB: Mwanaume itambue thamani yako fanya kazi pata hela, achana na mafundisho ya kukuandaa kuwa mtumwa wa wanawake , ishi maisha yako aiseee hiii dunia itakua pepo kwako.....trust me utaenjoy Sana .........ila ukiwa mtumwa wa wanawake imekula kwako.

Umeongea kitu kikubwa MNO! Tunaandaliwa na jamii tuwe watumwa wa wanawake, tuishi kwa manufaa ya wanawake kwa kisingizio cha ndoa na familia.

Manly men wanapotea, wanabaki pussies na yes men wasiojua thamani yao.
 
Kama kawaida katika harakati zangu za hapa na pale nikiwa kwenye fukwe nabalizi akatokea bro mmoja tusie fahamiana ila tulisalimiana na kila mtu akaendelea na mishe zake 2017 hiyo.

Baada Kama ya wiki mbili/tatu hivi tunakutana town Tena tukasalimiana na akaniuliza vipi umeenda Tena kule beach nikamjibu hapana ila natengeneza ratiba ya kwenda huko. Akaniomba namba na kuniambia nikiwa tayari nimjulishe twende wote nikamjibu poa.
Hawa wahusika kwenye hiki kisa mbona nawafahamu Mkuu?

Mwanaume ni dereva? [emoji848]
 
Huyo jamaa mvumilivu sana, mm mwanamke wa hivyo wala sijifikirii mara 2, nakupiga chini asubuhi na mapema nakubeba na vitu vyako nakupeleka kwenu.

Haya maisha mafupi sana, sasa why tuuane na pressure na visukari mapema?
labda uwe una miliki jiko la mkaa!! mwanamke wako mapene unayo??? ukiwa na bonge la chumba! sofa kaliiiii!! jiko la kisasa! mweee!! nakwambi hatoki na ni kesi kubwaaa!! polisiiii!!

hao ni kuwatoroka tu!! unaacha koti umeritundika kwa msumari!! ndo dawa!! atasubi liii subiri na wewe!! na usiwekeze saana kwa mtu km unaona mapepe!! labda awe na kismati sanaaa!
 
Back
Top Bottom