Mwaka 2018 Dkt. Magufuli alisema alishatembelea Nchi nyingi Duniani akiwa Waziri. Septemba 2020 anadai eti hajawahi kwenda Ulaya tangu akiwa shuleni!

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
Kwa kweli Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako. Wamechanganyikiwa kabisa hadi sasa wamebobea katika ulaghai. Mweeee!

Embu msikie mwenyewe kiongozi wa MATAGA.

Your browser is not able to display this video.
 
Ameshapewa taarifa kwamba afanye awezalo kuhakikisha anashinda kwa kura, tofauti na hapo atarajie yasiyotarajiwa. Msione hizi panic mnazoziona mkadhani mambo yapo kama yalivyozoeleka.
Inteeview ya jana ya Tundu Lissu kwenye kioindi cha dakika 45 ilikua ni kipimo kwa Lissu na sasa system imemkubali rasmi.
 
Mawazo kama haya utakuta team nzima ya kampeni ya chadema inawaza hivihivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…