Mwaka 2018 Dkt. Magufuli alisema alishatembelea Nchi nyingi Duniani akiwa Waziri. Septemba 2020 anadai eti hajawahi kwenda Ulaya tangu akiwa shuleni!

Mwaka 2018 Dkt. Magufuli alisema alishatembelea Nchi nyingi Duniani akiwa Waziri. Septemba 2020 anadai eti hajawahi kwenda Ulaya tangu akiwa shuleni!

Vijana amkeni amkeni vijanana....
Huyu mtu ni Muono sana.
Amekulia katika hiyo misingi ya uongo uongo.

Kwanza anataka kujiongezea muda kwa kubadili katiba,AMKENI HUYU HAFAI.
i ..mnadanywa kuhusu idadi ya viwanda.
ii..Mnadanganywa kuwa miradi inajengwa kwa fedha zetu za ndank.
iii.Deni la taifa.
iv. Vijana wenye ajira nk nk.

MKATAENI HUYO MUONGO
 
Amesomea shahada zake zote UDSM. Hakwenda Ulaya kusoma hata siku moja. Inasemekana aliwahi kwenda Ujeruman kutibiwa.
 
Dah! Nimesikiliza hii clip mwanangu mdogo akiwepo, akashangaa, "khaaa baba hiyo mtu mbona inasema uongo hivyo, hebu irudie hiyo video", nikairudia, akasogea aitazame, amecheka mpaka kakaa chini! Nikamuuliza unaweza kuchagua monitor darasani kwenu muongo muongo hivi? Akajibu siyo tu kuchagua, hataki hata urafiki na mtu muongo muongo kama hili jeusi

Shida wanyonge wameshazoea kudanganywa... Na wanajisahau.

Wengi bado maskini, elimu duni hiyo ndio changamoto..
 
Back
Top Bottom