Mwaka 2018 Dkt. Magufuli alisema alishatembelea Nchi nyingi Duniani akiwa Waziri. Septemba 2020 anadai eti hajawahi kwenda Ulaya tangu akiwa shuleni!

Mwaka 2018 Dkt. Magufuli alisema alishatembelea Nchi nyingi Duniani akiwa Waziri. Septemba 2020 anadai eti hajawahi kwenda Ulaya tangu akiwa shuleni!

Mkuu!

Mtaokoteza sana vi clip lakini ukweli Lisu havuki 20%

Ninaamini pia Lissu anaweza kuwa hata chini ya hiyo 20%. Lakini usisahau pia kuwa toka mikutano ya siasa izuiliwe bila sheria - ni Rais peke yake amefanya mikutano kwa kofia ya Rais/Mwenyekiti na amekwenda hata kule ambako kwa makatazo yake CCM haikuruhusiwa kufanya mikutano.

Hoja ya sasa ni je, ni kweli amesema anayodaiwa kusema??
 
Kuna picha alipiga akiwa anaendesha baiskeli katika moja ya nchi za huko

Pia alitamka kwa kinywa chake kuwa aliishi Ujerumani, nadhani na Canada
 
Kwa kweli Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako. Wamechanganyikiwa kabisa hadi sasa wamebobea katika ulaghai. Mweeeeee!

Embu msikie mwenyewe kiongozi wa MATAGA .....

View attachment 1558372
Dah! Nimesikiliza hii clip mwanangu mdogo akiwepo, akashangaa, "khaaa baba hiyo mtu mbona inasema uongo hivyo, hebu irudie hiyo video", nikairudia, akasogea aitazame, amecheka mpaka kakaa chini! Nikamuuliza unaweza kuchagua monitor darasani kwenu muongo muongo hivi? Akajibu siyo tu kuchagua, hataki hata urafiki na mtu muongo muongo kama hili jeusi
 
Kuna tofauti ya kutembea nchi nyingi dunian na kufika ulaya.

Wenda alitembelea nchi za Africa tambua nazo zipo dunian,
Alaf jifunzen lugha wingi unaanzia mbili kwaiyo ata kama ikienda nchi mbili tayar ni nyingi
 
Back
Top Bottom