Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Kwahiyo unaona umetoa bonge la point [emoji1787]Mkuu!
Mtaokoteza sana vi clip lakini ukweli Lisu havuki 20%
Huu mwandiko nauona katika ID tanoMzee wetu yupo kwenye kipindi kigumu Sana aseeh.
Dah! Nimesikiliza hii clip mwanangu mdogo akiwepo, akashangaa, "khaaa baba hiyo mtu mbona inasema uongo hivyo, hebu irudie hiyo video", nikairudia, akasogea aitazame, amecheka mpaka kakaa chini! Nikamuuliza unaweza kuchagua monitor darasani kwenu muongo muongo hivi? Akajibu siyo tu kuchagua, hataki hata urafiki na mtu muongo muongo kama hili jeusi
Mzee wetu yupo kwenye kipindi kigumu Sana aseeh.
Yaani huyu ni laana ya taifaHe does not know what comes out of his mouth!!! Tragic.
Mzee roporopo anajulikana kua hana akili timamuUkisema hivi Lissu asingegombea ana faili Milembe au unafikiri utani